Labda kama unaongelea misimu ya nyuma, ila kwa msimu huu Smba imeshinda mechi moja tu ya kimataifa (dhidi ya Wydad) katika mechi nane za kimataifa msimu huu walizocheza.Kimataifa unaona Simba inaubonda mwingi tofauti na mechi za ndani, ungesema mechi za ndani ingekuwa inagawa dozi kubwa kubwa lakini ni tofauti struggle ni nyingi, lakini kimataifa mechi ikipigwa unasema hapa sawa.
Mbona timu za nje ndo ngumu,zenye historia na kubwa halafu Simba ikicheza unaona mpira mzuri na sio siri timu zenye makombe Africa zimekufa kwa Mkapa. Lakini kwanini hizi mechi za ndani kwanini ngumu hivi?