Kwanini simu za Samsung zinashuka thamani haraka sana tofauti na iphone?

Hizi data mnazo google wakati hamjui kingereza vizuri zinawapoteza....

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Nijue kiingereza kinisaidie nn google ndo nn kwani

Kama unahisi kuna technology mpya tengeneza simu yako [emoji38]
 
Haha watu hawarlewi na hili watasema umegoogle na kiingereza hujui
 
HUAWEI MPKA SASA SJAPATA KUONA, PHONE ZAO NI KAMA ZIMEROOTIWA, YAANI UNAFANYA UNAVYOTAKA WW, ALAF PIA UNAPOKEA UPDATE HARAKA KULIKO SIM NYENGINE, CAMERA HAKUNA ANAEMFIKA, BATTERY [emoji367] UNASAHAU KAMA KUNA KUCHARG, HAZIHEAT KAMA IPHONE AU SAMSUNG, HAWA JAMAA NI NYOKO,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna iPhone,
Kati ya Range Rover sport na vx v8 ipi kali?
 
Samsung na iphone hasa high end zilizojaa k.koo ni either
Refub, Used au carrier Unlocked...

Wazee hakuna simu mpya inayouzwa nje ya boks, simu zote hasa hizi high ends zinakuja zikiwa sealed...
Sasa wewe unaona mtu anauza S10 / iphone X kaishika mkononi anakuambia brand new na wewe unaamini?

Au unaziwa samsung au iphone ubavuni(SIO NYUMA) ina kijistika flan hv cha plastic,
Hahah hio haina kupepesa macho ni refb

Pia kaa ukijua kupata iphone au samsung mpya miaka miwili na zaidi tangu itoke ni Ngumu sanaaaaaaa...

Hizi simu wakitengeneza wanalenga zikae kwenye circle yao kwa miaka miwili tuu.. baada ya hapo nying ni refb, used au carrier unlocked,

Ushawahi jiuliza kwa nn Max warrant ni Miaka 2?

Ni sawa na leo Ukatafte Samsung S7 au iphone 7 sealed k.koo..
Naaapa Hapa hupatiiiii na ukipata lete ushahidi nikupe pesa...

NOTE : sina maana sealed zote ni brand new, k.koo kuvalisha seal kwao ni kama kumsukuma mlevi..

Ila namaanisha hakuna simu inatoka kiwandani bila seal.


Mwisho kbsa km unatumia samsung yyt
Kwenye model # inaishia na herufi tofauti na F/FD/DS/.
Jua huo mzigo umebadilisha Zones sio ya Afrika na ukienda sehemu yenye shida ya network huwezi isimamisha na Hizo hapo juu itasumbuaa, au ukachukua zote mbili ukalinganisha kwa kusoma network/signal strength km -dbm hio unlocked itapigwa... if other factors are constant

Hio imetumika nje hukooo..
Mtumiaji akaichoka akaamua ku i unlock(sisi tumezoea kuita ku flash) ikachukuliwa ikaja huku..

Yote kwa yete japo ndio Zinapata changamoto toka kwa kampuni nyingne km huawei, google na kwa mbali Nokia..

Hawa jamaa bd wapo juu..
Japo gap la samsung la mauzo linazidi kushushwa na Huaweii..
 
wakati xs max inatoka ilikuwa inacheza kwenye 3.6.wakati s9 plus imetoka ikiwa inacheza 2.4.

kwa sasa hivi madukani utakuna na xs max ikiwa imeshuka mpaka 2.2,wakati s9plus ikicheza 1.2.

so ni kitu kile kile kwa wakati tofauti tu.baada ya miaka 3 samsung inashuka zaidi sababu moja ya kwanza ni kwamba,inapoteza suport mapema kutoka kiwandani (updates),pia ina matoleo andamizi kila mwaka ambayo yanakuwa yameshaitoa kwenye ramani hii simu ya siku nyingi.mfano kwa sasa ni hizi A series.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swadakta,

Mimi nina simu 2
1.Huawei p20 pro na
2.Samsung S7 edge nimenunua juzi(btw naipendaga tu.
Hii S7 edge ukitumia kwa muda mrefu inapata moto kama pasi

Njoo kwa mzee mwenyewe p20 pro hata utumie 24hrs non stop hata kaumoto husikii.

Long live huawei, long live PRC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia S7 edge sikuwahi ona hilo tatizo so it depends...

Ila huwezi linganisha Huawei na Samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo shida kubwa ya wabongo... kuna mtu nilimwambia nimuuzie S9 plus yangu kwa 700K mwezi october. akakataa eti anaenda nunua mpya.... nikamwambia huwezi pata hiyo simu mpya kwa 900K kwasasa Kwani samsung hauzi tena akanikatalia...

Cha ajabu kauziwa simu kwenye box ila ni mbovu mno upande wa betri heri angekuchukua yangu niliyoitunza.
Kanunua s7 juzi juzi amesema, tayari hapo asilimia 90 ni refurbished simu ya 2016 sidhani kama samsung bado wanaiuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…