Jitahidi kutosema uongo, si kweli kuwa wanaume wengi simu zao zinapassword, hata kama zina password basi watu wanajaribu kutunza kumbukumbu mhimu, maana siku hizi tuna simu banking mimi simu yangu naweza kufanyia shughuri zote za kibenki hivyo ni muhimu kuprotect benki yangu.
Tatizo lako unamawazo finyu unadhani kila mwenye password basi ni kwa sababu ya maswala ya ufusika.
Kumbuka kila mtu ana interest zake sio wote wanao penda maswala ya wanawake