Kwanini Singida Fountain Gate FC ina wana Yanga SC wengi Uongozini, Benchi na kwa Wachezaji kuliko wana Simba SC?

Kwanini Singida Fountain Gate FC ina wana Yanga SC wengi Uongozini, Benchi na kwa Wachezaji kuliko wana Simba SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nitashukuru GENTAMYCINE nikijibiwa. Nazitakia kila la kheri leo Timu za Beka na Bakari ambazo zitakutana leo kuanzia Saa 12 na Robo Jioni.

Tutaheshimiana tu tarehe 5 Novemba, 2023 kwani tuna Hasira na Harufu za Mifedha ya akina Motsepe na Infantino hivyo mtatukoma.
 
Yanga inapendwa sana na na mashabiki wengi Singida, Tanzania na Serikalini kwa ujumla wake...

Hata Simba pia wapo kama Mangungu ,Ahmed Ally na Ally Kiba ni Yanga Damu pia...
20230803_124333.jpg

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mgao wa hizo zitafanyika lini kwa mashabiki na wanachama? Kama pamoja na kupata pesa bado usajili ni wa kuunga unga kwa akina Onana basi hizo pesa ni useless katika furaha za mashabiki.

Kwa trend ya Simba katika mechi kubwa msimu huu, basi naiona derby itaisha kwa suluhu ila sio Simba kushinda. Simba hawana uwezo wa kushinda mechi kubwa msimu huu zaidi ya kutoa sare
 
Ni tawi la yanga.
Pia wanajifunza kwa wlio fanikiwa
 
Back
Top Bottom