Nitashukuru GENTAMYCINE nikijibiwa. Nazitakia kila la kheri leo Timu za Beka na Bakari ambazo zitakutana leo kuanzia Saa 12 na Robo Jioni.
Tutaheshimiana tu tarehe 5 Novemba, 2023 kwani tuna Hasira na Harufu za Mifedha ya akina Motsepe na Infantino hivyo mtatukoma.