Sasa kama hutaki watu wahoji unadhani hayo unayoyataka yatakuja kama mvua ya Mungu?Kitu ambacho hamjakijua ni mind your business!!
Sijui Kama nitaeleweka! Pambania maisha yako, pambania familia yako pambana upate fedha upunguze matatizo uliyonayo.
Lalamikia serikali yako kukupatia mambo ya msingi Hospitali na huduma nyengine ila wewe jiwekeze kujikimu hayo mengine utadata; hakuna atakae kupa taarifa ya uhakika hapa hiyo hela imekwenda kivipi.
Kitu ambacho hamjakijua ni mind your business!!
Sijui Kama nitaeleweka! Pambania maisha yako, pambania familia yako pambana upate fedha upunguze matatizo uliyonayo.
Lalamikia serikali yako kukupatia mambo ya msingi Hospitali na huduma nyengine ila wewe jiwekeze kujikimu hayo mengine utadata; hakuna atakae kupa taarifa ya uhakika hapa hiyo hela imekwenda kivipi.
Serikali ni ya wote . Hii sio pesa ya viongozi ni ya wananchi wote kwa ujumla na waliopo uongozini ni waakilishi tu tena wengine bila kuwa na chaguzi za haki na huru. Tusikouliza nani aulize. Omba omba kwenye nchi yako pesa yako. Sisi tungekuwa na roho ya kibinafisi tuainge hoji sio kila mtu anayehoji familia ina shida lakini kila Mtanzania ni kama nduguKitu ambacho hamjakijua ni mind your business!!
Sijui Kama nitaeleweka! Pambania maisha yako, pambania familia yako pambana upate fedha upunguze matatizo uliyonayo.
Lalamikia serikali yako kukupatia mambo ya msingi Hospitali na huduma nyengine ila wewe jiwekeze kujikimu hayo mengine utadata; hakuna atakae kupa taarifa ya uhakika hapa hiyo hela imekwenda kivipi.
Sasa kama hutaki watu wahoji unadhani hayo unayoyataka yatakuja kama mvua ya Mungu?
Watu wakihoji yawezekana wakajichanganya na kutudanganya zimeenda kujenga hospitali, so mtoa mada yuko sahihi kuwauliza hawa wezi!
Huko kuhoji kwenu kumesimamisha fedha ipi tangu ziailiwe..?Ww Ni mfaidika wa hizo hela nini, mbona hutaki watu sahihi hizo hela zimeingia kona gani? Maana ccm sasa hivi wanasema hawataki tena pesa za matajiri, lakini hawatoi maelezo yoyote ya hizo hela za kishika uchumba. Kama wewe huwezi kuhoji acha wanaoweza kuhoji wahoji, hakuna anayekuomba umuunge mkono kwenye kuhoji.
Tutahoji bila huruma yoyote kudadeki ! Hamuwezi kuwafanya wananchi mabwege kiasi hicho , tuambieni hiyo hela iko wapi ?Kitu ambacho hamjakijua ni mind your business!!
Sijui Kama nitaeleweka! Pambania maisha yako, pambania familia yako pambana upate fedha upunguze matatizo uliyonayo.
Lalamikia serikali yako kukupatia mambo ya msingi Hospitali na huduma nyengine ila wewe jiwekeze kujikimu hayo mengine utadata; hakuna atakae kupa taarifa ya uhakika hapa hiyo hela imekwenda kivipi.
Hakuna utaratibu rafiki wa kuziba mianya hizo fedha kudhibitiwa zisiliwe na ndio maana zinaliwa! Badilisheni utaratibu ili kupatikana usalama wa fedha hizo kutokuliwa hapo mtatua tatizo ilasivyo hizi ni porojo za aina ya tope.Serikali ni ya wote . Hii sio pesa ya viongozi ni ya wananchi wote kwa ujumla na waliopo uongozini ni waakilishi tu tena wengine bila kuwa na chaguzi za haki na huru. Tusikouliza nani aulize. Omba omba kwenye nchi yako pesa yako. Sisi tungekuwa na roho ya kibinafisi tuainge hoji sio kila mtu anayehoji familia ina shida lakini kila Mtanzania ni kama ndugu
😂😂😂 Ungejua unaeniuliza maswali haya Sina hata chembe ya jibu hakika ungezima data zako ukalala, endeleeni kudai mtapata watoto wazuri sawa..?Tutahoji bila huruma yoyote kudadeki ! Hamuwezi kuwafanya wananchi mabwege kiasi hicho , tuambieni hiyo hela iko wapi ?
Mbona Magufuli alishasema malipo hayo yatakapofanyika haitatangazwa hadhari sababu inaonekana kualika wanao idai serikali kukamata mali za serikali.Ww Ni mfaidika wa hizo hela nini, mbona hutaki watu sahihi hizo hela zimeingia kona gani? Maana ccm sasa hivi wanasema hawataki tena pesa za matajiri, lakini hawatoi maelezo yoyote ya hizo hela za kishika uchumba. Kama wewe huwezi kuhoji acha wanaoweza kuhoji wahoji, hakuna anayekuomba umuunge mkono kwenye kuhoji.
Huko kuhoji kwenu kumesimamisha fedha ipi tangu ziailiwe..?
Tumuliwa toka hayo mamigodi yapo likaja hili na mengine ya escrow na epa yamepita Kama upepo wa kimbunga!
Kuhoji si chochote Kama hakuna nguvu ya utekelezaji utapigwa chenga bure... Kwa nchi zetu utaratibu ni mbovu tu na hili ndio tatizo Kama hizi fedha zikizibitiwa kabla hazijaliwa Ni heri kuliko kuja kuhoji kitu kimeshaliwa!
Ni heri kinga kuliko tiba! Mnapoteza muda wenu na hamtanielewa kamwe kama msiponielewa hili dogo.
Mbona Magufuli alishasema malipo hayo yatakapofanyika haitatangazwa hadhari sababu inaonekana kualika wanao idai serikali kukamata mali za serikali.
Alisema hii hadharani kwenye hotuba ya wazi.
Pesa itajulikana ilisha lipwa wakati imeshatumika na kuonekana kwenye taarifa za ukaguzi wa CAG, kwenye vitabu vya mahesabu ya kihasibu.
Hapo hata wanaotudai watajua baada ya fedha kutumika na hakutakuwa na fedha za kurahisisha zoezi la wao kutulazimisha tuwalipe muda wanaotaka wao.
Anaweza kukulipa na akafanya siri kwa public kutokana na makubaliano. sawa sawa tu na mikataba ya siri wanayo fanya kila siku.Mzungu akulipe kisha isifahamike kama umelipwa? Au unadhani hiyo ni biashara ya mitumba hapo Magomeni?
Unajikinga na mvua kwa mwamvuli uliotoboka!! Adui unapambana nae kila siku kwa siraha isiyodhuru unafikiri utashinda..?Usipohoji na kuweka rekodi sawa utawezaje kushawishi utaratibu wa udhibiti uwekwe? Kwa hiyo kwakuwa zililiwa huko nyuma na sasa hivi tusihoji? Kwa hiyo kama umeshanyeshewa na mvua hupaswi kujikinga tena uendelee kunyeshewa kisa umeshanyeshewa? Dogo kama huna hoja piga kimya.
Unajikinga na mvua kwa mwamvuli uliotoboka!! Adui unapambana nae kila siku kwa siraha isiyodhuru unafikiri utashinda..?
Unahoji kitu usichoweza kukidhibiti ndo akili gani hii..?
Unauliza kwanini chujio linapitisha maji wkt hujaliziba!! Unafikiri ukiendelea kuuliza litajiziba!!
Nimeshaandika mkishindwa kunielewa kwa hili hamtanielewa kamwe!
Anaweza kukulipa na akafanya siri kwa public kutokana na makubaliano. sawa sawa tu na mikataba ya siri wanayo fanya kila siku.
Watajulishwa wanahisa kwa siri, itatoka public kwenye hesabu ya ukaguzi za kampuni husika iliyo lipa wakati tayari ishatumika.
Au watakapojulishwa wanahisa kwenye kikao hca wanahisa wakati zimeshatumika, sababu hapo kupitishwa malipo zimeshapitishwa.
Wana sahinishana ile Non Disclosure Agreement (NDA) tu.
Itapunguza madeni yao wawekeze kwenye miradi yao mingine kuliko fedha kubaki kwa mdeni wao bila faida kubwa.$300m ndio wanaotudai itamaliza madeni yao? Ni 10t? Utetezi dhaifu.
Hili jukwaa la siasa nilikuwa naliona la vichwa ila kumbe vilaza!!Mifano yako ni irrelevant. Acha hoja za kulazimisha dogo.
Itapunguza madeni yao wawekeze kwenye miradi yao mingine kuliko fedha kubaki kwa mdeni wao bila faida kubwa.
Hili jukwaa la siasa nilikuwa naliona la vichwa ila kumbe vilaza!!
Nilikuwa hata naliogopa kumbe hamna lolote!
Lazima tuambiane ukweli wengi wenu humu mnapenda kujadiliana Kisha mambo yanafia kimtambuka!,Ni upuuzi kuhoji kitu wakati hata kama ukihoji hakuna utekelezaji wake! Kama unataka kuhoji hoji huku unafahamu nguvu yako ya kuhoji haiendi bure mi nyuzi mingapi ya kuhoji humu hizo hela imekufa bure..?
Kama Mambo ni yaleyale basi jua matokeo yatakuwa yaleyale