Kwanini sishiki mimba?

Hakuna cha timing wala nini.

Waende gospitali tu. Usikute anaogoI a hospitali pengine hata huyo mmoja siyo wa mwanamme anaetaka kuzaa nae sasa, alimbambikia tu.
Inawezekana, ila kama wa kwake posibility ya mwanaume kutoweza kutungisha mimba tunaifuta linabaki suala la either timing au basi tu wakati haujafika ukifika inashika.

Nafahamu mtu ambaye alikaa miaka 8 ndo wakapata mtoto. Walienda hosp wanaonekana hawana shida ila ndo hivyo, 8 years.
 
Hizo zote porojo.

Waende hospitali.
 
Njoo nikushikishe alafu "tuna sex" ndio nini? Andika kiswahili tukuelewe
 
Tumieni styles za wanyama kujamiiana 🐒

lakini pia Lazima kuzingatia utimamu wa afya, physically, spirituality and mentally, lishe bora na mazingira mazuri ya utulivu siku kadhaa kabla ya kukutana na kujamiiana 🐒
 
Kua mpole, zingatieni lishe, wife alitumia mitishamba fulani aka conceive chap

Ila kwa sasa suala la uzazi limekua tight asee mhh....
 

Hivi Muhimbili hospital walishaanza kutoa huduma ya IVF ?
 
Njoo pm
 
daah haya mambo haya. wanaotaka watoto hawawapati ila wasiotaka sasa ndo dakika moja mbali mimba hii apa.
 
KWANZA JAMBO LA KUSHIKA MIMBA LIPO CHINI YA IDHINI YA MUNGU
Ivyo bas hakuna ulazima wa mtu kushika mimba kwa lazima kila anapodhamilia kwa kufanya tendo siku za hatari, Pili mimi ni mtaalam wa tiba kwa wakina mama kuhusiana na uzazi ila kwa njia za dawa za miti(kienyeji), ukijihis una tatizo nitafute inbox

Sent from my CMA-LX1 using JamiiForums mobile app
 
ushakua tasa, na ngumu sana kupona.

tatizo letu mnachokonoa sana huko chini, mnameza cjui mnaita mapitui.

ila bora wewe umepata japo mmoja. kuna wenzio wamejitia utasa wenyewe na mpaka hivi sasa wanajuta.
 
tatizo mnapenda kujiona mna akili na ujuaji mwingiii. kumbe kichwani weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…