Kwanini sishiki mimba?

Ngoja nisiendelee kusoma komenti maana tuna amshana upwiru tu bure kwenye huu uzi..🤨
 
Baada ya kupata mtoto huyo wa kwanza hasa baada ya kujifungua ulichukua siku ngapi, ukaanza kutumia dawa za uzazi wa mpango , kama ulitumia ndani ya siku 1 hadi 90 au 110 baada ya kujifungua , nendq hospital ukaangaliwe mfumo wa afya maana badhi ya dawa husababisha mtu kutokua nq uwezo wa kubebeba mimba tena , hii nilikfahama baada ya dada yangu kubeba mimba akiwa shule na baada ya kujifungua , mama alimpeleka kwa wataalamu akachomwa sindano ya majira yaani hadi Leo umri wake umeenda na yuko kwenye ndoa hana mtoto zaidi ya huyu aliyetuachia ujombani
 
Nafikiri cha kwanza unatakiwa ujifunze kuhusu mzunguko wako! Haiwezekani upate hedhi kila mwezi tarehe ya kufanana!
Nakubaliana na wewe,na kama tarehe hua zinafanana bas mzunguko wake sio wa siku 28 bali 30..hivyo hizo siku anazosema anakutana na mumewe sio siku sahihi za kupata ujauzito
 
Jaribuni tar 15,16,17 mpka 18
 
Lipia tangazo
 
Wewe jamiiana kila siku utapata tu hiyo mimba, usiisahau dogstyle utanasa chapu zaidi.
 
Tasa atabaki kuwa tasa mpaka kufa kwake...

mungu ana neema zake jamani, anapofunga kizazi cha mtu ana maana kubwa sana kwetu. huenda anazuia balaa la kuletewa shetwani hapa duniani

si kila tasa wa kuonewa huruma
 
Kwa ushauri tu, mnaweza kuacha tendo kwa walau mwezi mmoja, kifuko cha mr kijae kidogo. Halafu wakati wa zile siku, mfanye mara 1 kwa siku, kwa siku 3 hivi. Inakupa chances zaidi
 
Kwanini mchague tarehe maalum ya sex?
Acheni uvivu basi, sex inapigwa daily. Yaani siku chache tu kwa mwezi🙄 mna shida gani?
Sex ni zaidi ya mtoto.
Pigeni show za kueleweka mtoto atakuja tu.
 
Kwa ushauri tu, mnaweza kuacha tendo kwa walau mwezi mmoja, kifuko cha mr kijae kidogo. Halafu wakati wa zile siku, mfanye mara 1 kwa siku, kwa siku 3 hivi. Inakupa chances zaidi
Mbona kifuko hua kinajaa kila siku.
Kuleni vyakula sahihi mfurahie maisha ya ndoa.
 
Pole
 
Pole sana,

unaendeleaje saivi,
nilikua bado sijajiunga kwenye familia hii muhimu sana JF wakati unapost jambo hili gumu ambalo linawafedhehesha wadada wengi 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…