Kwanini sisi tunaobeti tunakatwa Kodi ila hatutambuliki na TRA kama walipa kodi?

Kwanini sisi tunaobeti tunakatwa Kodi ila hatutambuliki na TRA kama walipa kodi?

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Habari wana Jamvi,

Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000.

Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA?

===
1709726120252.png

"Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha ajira rasmi na zisizo rasmi zipatazo zaidi ya 25,000, pia tunachangia mapato ya ndani na kuongezeka makusanyo ya kodi pia Tanzania imekuwa mfano kwa baadhi ya nchi za Afrika, kuanzia Kenya, Uganda, Zimbabwe, na Malawi zote zinajifunza kutoka kwetu," - James Mbalwe, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT)
 
Back
Top Bottom