Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

Mkuu hapa umenigusa sana , alaf kuna ile dhana ya mtu wa kwanza duniani alikuwa mwafrika sasa hapa ndo nashindwa kuelewa which is which hao wazungu nani kawazaa na kwann tumejitenga wakat sisi ndo wa kwanza. Hapo tulipigwa
 

Kuhusu rangi ni geografia tu, kuhusu kuwa nyuma kimaendeleo imechangiwa na raha za bara la afrika. hali ya hewa nzuri (si joto, si baridi sana) iliwafanya waafrika waridhike kulala nje, kutovaa nguo, kutokupika na kutunza vyakula maana vilikuwepo tu wakati wote sio kama kwa wenzetu kwenye baridi kali iliwafanya wabuni njia za kujikinga na baridi, lakini pia kuhifadhi vyakula ili wakati wa baridi kali wavitumie, ujue ilikuwa inafika kipindi huwezi kutoka nje sababu ya baridi,walianza kuwa na viduku, kutengeneza joto, mwanga, kuhifadhi vyakula, kutafuta namna ya kujikinga na baridi kali(mavazi) pamoja na mambo mengine kama hayo.

Evolution ikawafanya waendelee kuwa wabunifu na cc tukaachwa nyuma tunacheza ngoma na kuzaana sababu tuna raha ya kutosha
 
Acha ushamba dogo, umewai kusikia kitu kinaitwa sunscreen lotion? wazungu wakiwa maeneo ya jua kali hupaka hizo lotion ili kupunguza ukakasi wa miale ya jua la sivyo wanaugua skin cancer kwa sababu ya jua tu.

Lakini sisi weusi kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu, hata tukae chini ya jua kwa miaka buku bado tutakua poa tu! Pia joto na miale ya jua ni vitu viwili tofauti dogo,ngozi inabadilishwa na miale ya jua wala si joto! Dar joto kali sanaa lkn kagera baridi lkn jua la kagera ni kali zaidi kuliko Dar.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kuongezea hapo,hapo awali hapakuwepo na mabara haya tuliyonayo sasa,ilikua ni bara moja lililoungana likijulikana kama pangaea,lkn kutokana na nguvu za kitektonik bara hilo lilimeguka had kufikia kuzaa mabara haya tuliyonayo sasa,kabla ya kuvinjika kwa bara hilo jamii zote zilikua za rangi moja(blacks),kutokana na mabara kumeguka na mengine kwenda mbar na jua,ndipo hapo kulipoanza kutokea skin mutation ili kuwezesha watu kukabiliana na mabadiliko hayo ya jua...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Huenda kulingana na mafundisho ya dini, rangi ya Adam na Eva ndio uhalisia wa binadamu. Rangi tofauti ni sisi Waafrika tuliotokana na theory ya Darwin (Darwinism).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asili ya binadamu wa kale ni nyeusi na rangi nyeusi kwenye ngozi ni uumbaji wa Mungu aliyemuumba binadamu, mtu mweusi alikuwepo duniani kote kabla hata ya UTUMWA ila Asili yake ni Afrika na hata mazingira ya Afrika ndio uhalisia wa dunia halisi ya kale na rafiki kwa binadamu hawa wazungu kule kwao sio duniani hata hakufai kwa maisha ya binadamu mfano mdogo ni hali ya hewa
 
Uko vyedi mamaa!! fit kote kote
 
Mungu aliumba kwa kufinyanga udongo kisha kuweka kwenye oven ili kuimarisha umbo. Wakati anaumba alijisahau akalala na udongo ukaungua na kuwa mweusi, alipoamka akaona hawezi kurudia, akaamua hao watu wakae Afrika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda nigusie kwanin MTU mweusi anabaguliwa;

Kutokana na uelewa wangu mm the bright or white color huwa inaelezea kitu kizuri au kitu kisafi or something worthy mfano hata ukiangalia movie hizi, angles wanaoneswa ni weupe wanang'aa, malaika akitokea basi hilo eneo litakua linangara linawaka, inaamika white is wealth and smart na vilevile inaaminika God anakaa sehemu kulipo kusafi kunang'ara na sio sehemu penye Giza au peusi while black or dark inaeleze something evil and worthless na vitu vichafu so hata ukiangalia kwa kawaida MTU anayependa nguo nyeusi inner pants nyeusi basi anaonekana mchafu ili uonekane msafi na nadhifu lazima uvae vitu vyeupe au vyenye mwangaza na sio nyeusi.

Mpaka hapo inaonesha white dominate the black color. Tukija sasa kwa wazungu kulingana na rangi yao wanajiona ndy superior na wao ndy wawatawale black people ndy mana ukienda kwao they treat u as uchafu they see black worthless or shit.

That's my perception regarding to what I see 😅😅😅😅
 
African are black in color something that is not to be proud of and also they are black in mind something that is very dangerous at all.
 
Ngozi nyeusi ndo ulikua mpango wa Mungu haswa. ...!.

Hizo Race zingine ni matokeo ya Ushetani...!
 
The blackness of African make them always feel inferior in front of the white people something that is very terrible.
 
kwanini weusi wanadharauliwa, wanadunishwa,wanabaguliwa, kwani kuwa mweusi ni laana gani hapo
Hakuna anaye mdharau mweusi Duniani..ila mweusi ndo anajidharau mwenyewe...km wamerogwa vile... Mweusi anapenda ile ngozi ya zeru zeru wa ulaya kwa vile ana hela na akikaa nae week tu atamkimbia na weupe walisha jua hilo cha kufanya ni mwendo wa kutengana tu.....siku mweusi akipata hela japo robo tu ya mzungu??? Heee!! mweupe mbona atakoma......lkn zeruzeru wa kwao africa wanaua.wanawabagua. MIBAGUZI NI MIAFRICA YENYEWE NDO ILIANZA...HAO NI MAZERUZERU TU.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
NI kwasababu ..sisi weusi,ndio sura na mfanano halisi wa aliyetuumba...hivyo hao weupe NI wivu TU unawasumbua
 
Hii rangi tulipewa sababu roho zetu kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…