Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?


Mkuu
Mosi, Usiwe brain washed kwa jinsi umeandika ni kama vile rangi nyeusi ni mbaya.

Pili, Kila eneo la dunia binadamu ana rangi kutokana na mazingira ya eneo hilo, mfano Scandnavia ni weupe zaidi ya Mediteranian.

Afrika jirani na Ikweta ni weusi zaidi ya walio mbali na Ikweta, yote ni kitu kinaitwa evolution na adaptation! Rangi ni mbinu ya kukabiliana na mazingira kwa jua letu kama tungekuwa weupe tungechomwa mno!

Ulaya kuna nchi jua ni bidhaa adimu hadi wanasafiri kulifuata. Afrika kuwa nyuma ni matokeo ya watu kama wewe ambaye una mtazamo hasi
 
Smart response.
 
Haya mambo yameanzia kwenye story za Naoh na watoto wake pale ambapo yule mdogo(Ham) aliona utupu wa baba yake na kwwnda kuwasimulia kaka zake badala ya kumsitiri.

Biblia inasema mzee akawabariki wale watoto wawili Shem(Abraham katokea huku) na Japhet(wazungu wametokea huku) na kukilaani kizazi cha Caanan ambaye alikuwa ni mtoto wa Ham.

Hapa watu wametwist kuwa Waafrica tumetokana na laana hii,kitu ambacho si cha kweli. Ni kweli kwamba kuna asili ya ngozi nyeusi miongoni mwa kizazi cha Ham lakini aliyelaaniwa alikuwa ni Caanan mmoja kati ya watoto wanne wa Ham.

Wasomaji wa Biblia wanatambua geography Caanan na majanga waliyopitia kipindi chote cha Historia ya waisrael.Infacts nchi yao ndo Mungu alimpa Abraham na uzao wake na baada ya Waisrael kutoka Utumwani misri waliwaondoa almost Wacaan wote na kuchukua ardhi yao.Wengi waliuawa,wengine wakachykuliwa kama slaves na wengine walihama.

Kwa hiyo story ya kwamba Waafrica tulilaaniwa sio kweli.Ila the fact kwamba Descendants wa Shem na Yafeth walibarikiwa na kupewa mamlaka ya kuwatumikisha descendants wa Caanan ni kweli.
 
KWanza mleta mada nakushauri tu siku nyingine usirudie ....Hakuna mtu mweusi Duniani na kamwe hata kuwepo!!! waafrica siyo weusiiiii...Narudia tena...... km hukusoma nakuelewa rangi hilo ni tatizo lako la msingi unasikiaaaaa.......

sisi wala siyo weusi.......labda km hujui rangi nyeusi ikoje weusi
 
Ukarimu wetu Waafrika ndo umetuponza. Fanya research vizuri mkuu, maana mm najua great seafarers or sailers walikuwa ni Waafrica na walizunguka dunia nzima kufanya barter trade. Kuna gap kubwa sana katika historia ya Mwafrika kutoka biblical error na civilization ya Mwafrika
View attachment 2087656
 
Kwani rangi nyeusi ina shida gani? mbona hujauliza kwa nini wazungu ni weupe peee?
 
Inawezaka kuwa kweli maana huko ulaya na marekani wanakufa sana kansa
 
Kwa Sababu mmelaaniwa ndio maana mna Rangi nyeusi
 
Okey, kuhusu why sisi niweusi nafkiri sitapagusia,

ila kwanini sisi ni slow learner, masikini, wajinga na kila baya linalotokea humu duniani it is becouse of our DNA!!

Tumeumbwa hivyo!! We jiulize mpaka leo africans sawa tulitawaliwa, sawa tulikuwa exploited sawa tulikuwa slaved, but till today nothing has changed!

Yaani unajua why ni poor, why ni mjinga, why una njaaa barani kwako, na unajua kabisa solutions towards hizo challenge ila hauriact

The answer is simple the problem is our "DNA"

Ndani ndani kabisa kwenye kuumbwa kwetu automaticaly tulipewa sifa zifuatazo


*Chuki na wivu wakijinga
*Ubinafsi
* Uroho

Until that day huyo aliyetuuba aamue kuviondoa hivyo, kwenye upcoming next generation ya mtu mweusi, ndio siku tuta badilika!!
 
Mungu aliumba kwa kufinyanga udongo kisha kuweka kwenye oven ili kuimarisha umbo. Wakati anaumba alijisahau akalala na udongo ukaungua na kuwa mweusi, alipoamka akaona hawezi kurudia, akaamua hao watu wakae Afrika.
 
Weusi wakati tunatawala Dunia hii takribni mika karibia elf 4 huko nyuma tulikuwa super power ni ile mbaya!! woote sisi weusi baadhi ya wengi wetu tumetokea Misri, vitukuu vya mafaraoh viko viiingi tu humu!

tulijichanganya sana na weupe lkn sisi ndo tulikuwa wa kwanza kuwadharau weupe ktk zama hizo na mpaka leo hii tuna wazaaa weupe lkn tunawadharau sana tuna waua bila sababu!

tumewapa ma-jina mabaya eti ''Zeru!! zeru!''!...kuonyesha kwamba lilikuwa jina baya! siku hizi wanaitwa walemavu wa ngozi! tuliwaua ,tukawa terekeza. bila misaada!

wao wakajikusanya kivyao kimkakati wakiwa hukooo Milima ya Cauccas Mt. karibu na Russia ya leo!!.....wakajipanga ivooo! wakarudi kusoma Kwenye nchi za Misri kwa shida mnoo!

ikafika mahali wakagundua baruti za Bunduki......wakajipanga chini ya kiongozi wao maarufu km Alexander de great!! so wakaivamia Misri ya mafarao! yooote mpaka na middle East ikawa himaya yao wakatawala!!

tangia hapo kibao kimewageukia weusi!! wakatekwa wakuzwa miongoni mwao mazeruzeru!! weusi hawakuamini kilichokuwa kinawatokea mpaka leo kuwa wale mazeruzeru wamejiweka sawa!

wakajaribu kupigana nao wakawashinda vibaya mnooo!! mpaka wakabeba wake zao kinguvu wakazaa nao vitoto vikawa taifa la waarabu wa leo!! hao nao waka wakataa weusi!

Tena hili jina la weusi mmepewa tu, ili mjione duni!! lkn hakuna mtu mweusi Duniani, maalbino walianza kutengwa kidogokidogo km unavooona leo!! ...wao ndo wakawatenga kabisaaa!! ili muonje dawa yenu!!

sasa mmebaki kujipa moyo eti Buracki is beauty!! .......ya waapi .........nani kasema>>???? tulieni dawa iwaingie....

Kuonyesha kuwa sitaniii leo hii walemavu wa ngozi bongo wamejitenga na ka NGO kao kanaitwa ''under the same sun! ki vyao wakiona mweusi tu anakuja wanamkimbia...

sababu wakijichanganya na nyie tu mnawaua! sasa mtu km huyu awe tajiri ghafla apate na minguvu ya kijeshi km yote atakuelewa??? sasa ndo ivoivo na hao wazungu walivokuwa!

wanaamini wakiwalegezea tu!! mtawamaliza nyie Manyani! hamna uelewa mzuri! km mie muongo hao wazungu hawatolewi misukule!! wakija hapa kutalii ni heshima na adabu!

kuonyesha kwamba sitaniii Kwenye Damu ya mzungu yeyote kuna DNA za mweusi!!! kwa hiyo ile dhambi mliyo wafanyia ndo ina watafuna leo hii!! tena waliwatumikisha kweli mpaka leo! tulieni tu dawa iwaingie!

Kwa hiyo weye ridhika tu saabu tulishawaambia miaka mingi kuwa '''Mshahara wa dhambi ni nii............hao ni wajukuu zenu lkn kwa vile mliwakataa basi na wao wanawalipa stahili yenu!
 
Jiamini mkuu,we are the best,infact kwa ajili ya hili wametumia kila mbili ili tujione sisi ni dhalili na si lolote.Wanatumia fedha nyingi sana especially in soft power to achieve this.

Mkuu mawazo yako calls for radical change in our education system,wewe ni mhanga halisi wa our poor education system,hatujawa-equip with the right education.Tumewaruhusu Wazungu watumie soft power against us, ili muone kwamba weusi wetu ni mbaya,badala ya kuona it is a blessing.Wametumia pia soft power hiyo hiyo kuwa aminisha kwamba umaskini wetu ni natural and our own making,kumbe ni imposed on us.Very sad.Naamini Kama History na Development Studies viki fundishwa vizuri tutafanikiwa kuondoa perceptions za aina hivi.

Kwa habari ya weusi wetu nikukumbushe pia kwamba God loves diversity,ndio maana humans are of different colours black,yellow,White,Brown,red etc.etc.

Kwa kukusaidia soma kitabu kifuatacho👇 uone why Africa is poor.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…