Dadake Asuttu
Member
- Apr 2, 2013
- 37
- 68
Acheni kutembea na waume za watu, bhaasi. Manake mnajizibia riziki tu ilhali vijana wenzenu wanawaogopa.
Sasa we mwili mkubwa, kalio kubwa na mara nyingi wa hivi, na nyonyo nayo huwa kubwa, hivi ukinikumbatia mimi kimbaumbau si utaonekana umelala peke yako? Halafu huo mkumbatio unaweza ukanikosesha pumzi na mwisho nikafa.... Sasa kujiepusha na kifo nawakwepaNimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Naomba uitetee hoja yako.
Mwili mnene na harufu vina uhusiano?
Naomba unifafanulie mkuu BUCHANAGANDE.[/QUOTE
Hilo liko wazi, halihitaji utetezi wala halikuhitaji uwe na PhD ndo uelewe.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Tatizo mmezxidi kugawa, hata ukiolewa miongoni mnasaliti sana ndoa zenu. Katika mademu warahisi kutongoza ni wenye maumbo hayo. Kitu kingine matakooo yenu yamekuwa kivutio kwa wanaume wengi na nyinyi kuona ni sifa sasa kila mtu mnamwachia abofye awezavyo.