Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kuangalia sio kuvutiwa, hata mie naangaliaga saana tu ila sinaga hufagio na hayo manundu..heheee
 
Kinachoshangaza ni kile kilichozidi kawaida, kwa hili eidha wembamba sana au unene sana. Kwa hiyo kinachowageuza shingo wanaume shingo wakati mwanamke mnene anapita si uzuri wa unene huo bali unene kuliko kawaida
 
mnajidhalilisha. hivi unafikiri mwanaume gani utampa 0713 halafu akuoe?. sio wote wanene ambao hawaolewi, wanao jielewa wameolewa. mabonge wengi wavivu. unakuta ananawa miguu, mikono na uso kisha anaondoka bila hata kuoga sana sana atajipulizia manukato. acheni kujirahisisha. mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi, soda nk tena barabarani huku akitembea. mtu bonge nyama zimebebana kiasi kwamba akioga inabidi awe anainua nyama za tumbo na kusugua vingenevyo atanuka. mia
 
Kinachoshangaza ni kile kilichozidi kawaida, kwa hili eidha wembamba sana au unene sana. Kwa hiyo kinachowageuza shingo wanaume shingo wakati mwanamke mnene anapita si uzuri wa unene huo bali unene kuliko kawaida

Kwani mtu mnene anaanzia kilo ngapi?
 
aaahahahahahaha...albanuni fil hayat duniya ndo nini mkuu?
 

Katika maisha yako mkuu, hujawahi kutongoza demu mnene?
Na je, ina maana hakuwa wanawake wembamba wasiotoa harufu?
Naomba jibu.
 
Binafsi siwataki kabisa warembo wanene wala sijawahi kuwa kwenye mahusiano na binti mnene.Labda nimeathirika na English figure ya mpenzi wangu wa kwanza kabisa.Kikubwa ni kwamba, wengi huamini warembo wanene wanapandisha pressure gafla sana kuliko wembamba.Nimeshuhudia jirani yangu alipogombana na wake, siku iliyofuata waliamkia Bugando hospital akiuguza lol!
 

Kwa hiyo wewe unaishi kwa kuiga toka kwa jirani yako.
 
wanaume tunataka tipate familia yenye afya njema sasa wee mama kibonge ...a health hazzard kweli hao watoto watakuwa wenye afya jamani!?
 
80 and above.

Inategemea na urefu wako na figure yako!!!!!!!!! Wkurya iko enda hewani sanaaa, najazia kwenye guu na paja zao na ile kalio ila haiko na nyonyo kabisaa wala tambi na kono nyembamba na iko nzito sanaaaa hadi kg 90 coz fupa yoa iko ndefu na zito! Na haina nyama uzembe hata kidogo!

Ila mutu ya pwani iko fupi naweza kuta na kilo 60 ila iko jaa nyama uzembe kila sehemu ya mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…