ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
Acheni kutembea na waume za watu, bhaasi. Manake mnajizibia riziki tu ilhali vijana wenzenu wanawaogopa.
Sio kweli! SI MNASEMAGA MWANAMKE TABIA NYIE??????????????? Afu hata portable wakizaa wanageuka hivi hivi! Hapo ndo wanaume wanachoka mwili na roho! Chezeya mchemsho wa kuku nyie.
Kalio una kazi nalo ipi?napenda wadada wenye makalio makubwa, wanene, wenye maumbo makubwa. wembamba siwataki kabisaaa
Umbo kubwa kuliko kawaida
Kwani mtu mnene anaanzia kilo ngapi?
Ndo mana waki-comment nawauliza maswali wanakimbia.
Wavute picha miaka 10 nyuma kabla wake zao hawajazaa, walikuwa na maumbo gani?
Tatizo wanaume wengi wanafata mkumbo, akianza mmoja kwenda against na mada, basi woote watakaofuatia watamsapoti wa awali, hata kama Ukweli anaujua.
Na nina uhakika wanaume waliokuja kusema kuwa hawawapendi wanawake wanene, ukienda majumbani mwao, ndio haohao wamewaweka ndani.
Ila hapa jukwaani hufuata mkumbo.
sure wananuka .1.wanatoa jasho muda wote.2.wanamanyamanyama na mikunjo hivyo hawawezi kuoga wakamaliza uchafu mwilini au kujifuta uchafu wote wamalizapo kuoga.i hate them.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Jamni, unene tunaouzungumzia ni ule wa wakati wa kuchagua, si miaka kumi toka kufunga ndoa... Huyu miaka kumu si nitakuwa nimemnenepesha mimi mwenyewe?
Umekurupukia swali ambalo hujaulizwa wewe.
Anyway, huyo Mkeo/Mpenzi wako uliempata enzi hzo alikuwa mchafu, nawe pia ulikuwa mchafu ndo mana mkaendana.
sio wanawake wote wanene wanatoa harufu. na sio wanene wote wana tabia mbaya. kuolewa ni majaliwa mbona hata wembamba wanafanywa vimada na hawaolewi? lakini tabia njema ndo siraha. heshimu watu wote na ongea na watu wote. tatizo la watu wanene wanajiona ndio wazuri peke yao au ndio wanatakiwa wawe na mtu mwenye hela, kumbe hela yatafutwa. cheka na watu uvae viatu. Be simple. miahujawahi kutongoza demu mnene?Na je, ina maana hakuwa wanawake wembamba wasiotoa harufu?.
Kuna kitu katika baadhi ya watu wanene ambacho siwezi kukiweka straight.
Childish? Maruweruwe? Silly? Break zinamiss? Hii inatokana na movie lakini
Watu wanene sana wanapewa part ambazo brain zao zinakuwa 'funny'
Imefanya mtazamo wangu kwa watu wanene uwe kuwa wana 'funny brain'
Kama vichekesho tu
Labda umeathirika na hilo pia? Perception.
Hapa tunachanganya mambo mengi sana
1.Unene
2.Ukubwa wa wowowo
3.Uzito
4. Makabila (wakurya mara wa pwani- lara 1)
5.Kabla au baada ya ndoa
Which is which?
Tunazungumzia mtu "obse"? manake mtu obese anaweza hata kuwa wa kilo 60 inategemea urefu na uzito wake ambao unadetermine BMI. Sasa mtu anaweza kuwa na kilo 80 na sio obese ni healthy. na wembamba tunaozungumzia ni upi?
hebu mtu atuwekee tupicha au kama vipi tupelekane kule jukwaa la chini tusaminishe wka picha
CC Kongosho