GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie?
Watoto wa leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.
Watoto wa leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.