GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
'Kama Fundi hasa wa Mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala Sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie?
Watoto wa Leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.
Magoli mengi ya Chama yameisaidia Simba SC kuvuka Robo Fainali na kwenda Nusu Fainali CAFCL? Huna Akili usiniboe.Gagarino ana magoli mangapi CAF champion league?
inawezekana hamfikii lakini hiyo ni zamani,kwa sasa anayetamba ni chamaKama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie?
Watoto wa leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.
Mnajipa moyo tu, hata hivyo Gagarino wa nini mwaka huu 2024. Kamsajili basi huyo Gagarino.Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie?
Watoto wa leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.
"Leave the past where it belongs. In the past."Watoto wa leo JF ninawaambia kuwa hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji Kikubwa na Kuujua Mpira kama Gagarino.