Karibia nchi zote za Magharibi zilikuwa na mfumo wa ufalme usiofuata katiba kama uarabuni na wakaachana na huo ujinga wakachakua mfumo wa jamuhuri/republic au constitutional monarchy.Sio kila mfumo unafanya kazi kila mahali, kila jamii ina ustaarabu wake
Ukipeleka mvumo waki magharibi nchi za uwarabuni utafeli vibaya sana...
Tangu lini Africa ilijitawala?Africa imetawaliwa kwa mkono wa chuma na madikteta kwa miaka zaidi ya 60 bila maendeleo yoyote ya maana.
Tangu Wazungu walipowapa madaraka wakoloni weusi.Tangu lini Africa ilijitawala?
Jitahidi umuelewe bwana robert na mimi naungana nae africa haijawahi kuwa huru, wale viongozi wa kiafrica waliojaribu kutaka kuwa huru tayali saizi wapo akhera madukani.Tangu Wazungu walipowapa madaraka wakoloni weusi.
Unahamu ya kutekwa wewe,unakamulia limao kwenye jipuMo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08lP
Tangu Wazungu walipowapa madaraka wakoloni weusi.
Inatawaliwa na Waarabu na Wachina😄😄
Kwa hiyo kwa uelewa wako Afrika inajitawala?
Inatawaliwa na Waarabu na Wachina
Nani amesema ina demokrasia?Sasa nchi inayotawaliwa unafikiri inaweza kuwa na demokrasia?
Nani amesema ina demokrasia?
Hukuniambia, uliniuliza swali.Ndio nakuambia kwamba hakuna nchi inayotawaliwa inaweza kuwa na demokrasia.
Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa!, unazaliwa siku moja, na kufa pia ni siku moja!, ile siku mtu unazaliwa, unakuwa umeisha andikiwa, utakufaje na utakufa lini!, Malaika mtoa roho, Jibril, anawapitia viumbe wote trips saba mara sabini daily, ili saa yako ikifika, anaondoa roho yako bila kuongeza hata nukta moja ya sekunde!.Unahamu ya kutekwa wewe,unakamulia limao kwenye jipu
Usijali mkuu Tumesha kuelewa 🤣🤣🤣Naona tunaanza kulishana maneno, mimi nimeandika neno "kila.." (tu) mbona umenilisha maneno kuwa nimeandika kilaza?!.
Kila..
inaweza kuwa
Kati ya hayo maneno 100 ya kila, kwanini unilishe Neno kilaza?. Unataka nipotezwe kuonekana ni mimi nimemuita mtu kilaza?
- kilaaa
- kilaee
- kilaii
- kilaou
- kilauu
- kilaba
- kilabe
- kilabi
- kilabo
- kilabu
- kilaca
- kilace
- kilaci
- kilaco
- kilacu,
- kilada
- kilade
- kiladi
- kilado
- kiladu
- kilafa
- kilafe
- kilafi
- kilafo
- kilafu
- kilaga
- kilage
- kilagi
- kilago
- kilagu
- kilaha
- kilahe
- kilahi
- kilaho
- kilahu
- kilaja
- kilaje
- kilaji
- kilajo
- kilaju,
- Kilaka
- kilake
- kilaki
- kilako
- kilaku
- kilala
- kilale
- kilali
- kilalo
- kilalu
- kilama
- kilame
- kilami
- kilamo
- kilamu
- kilana
- kilane
- kilani
- kilano
- kilanu
- kilapa
- kilape
- kilapi
- kilapo
- kilapu
- kilara
- kilare
- kilari
- kilaro
- kilaru
- kilasa
- kilase
- kilasi
- kilaso
- kilasu
- kilata
- kilate
- kilati
- kilato
- kilatu
- kilava
- kilave
- kilavu
- kilavo
- kilavu
- kilawa
- kilawe
- kilawi
- kilawo
- kilawu
- kilaya
- kilaye
- kilayi
- kilayo
- kilayu
- kilaza
- kilaze
- kilazi
- kilazo
- kilazu
Nitamjulisha mode, tuongeze idadi ya makasa, zaidi ya name calling, pia kulisha mtu maneno iwe ni kosa!.
P
Hili la ignorance, nimelizungumza sana humuTatizo si demokrasia, tatizo ni ujinga wa watu.
Asante kwa kitabu, nitakisoma.Msome Karl Popper katika critique yake ya Plato/Socrates iliyo katika "The Open Society and Its Enemies" kaandika vizuri critique yake ya maoni ya Plato/Socrates katika "The Republic". Kitabu nimeki attach hapo chini.
Hiki ndicho kitu mimi nimeamua kukifanya hizi siku za maisha yangu zilizobakia duniani, kuwaelimisha Watanzania,Kama huwezi kuwa na demokrasia kwa sababu watu wengi ni wajinga, solution si kukataa demokrasia, solution ni kuondoa ujinga.
Demokrasia tuliyoletewa ndio inawezesha kupatikana kwa hao madikteta vilaza. Wanakuja kwa upole kuomba kura wakitumia ujinga wa wananchi kama advantage. Wakishaingia madarakani ndio wanafichua makucha yao.Africa imetawaliwa kwa mkono wa chuma na madikteta kwa miaka zaidi ya 60 bila maendeleo yoyote ya maana.
Nakumbuka wakati nipo form 2 azania sekondary, siku moja mwalimu alikuja na debate ya democracy vs dictatorship. Kila mmoja achague mwenyewe upande wa kuunga mkono.Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, a good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa empty shells, kwasababu tuu, lichawa linapendwa sana na watu, na kiukweli liko very popular!, hata ukinishindanisha mimi university graduate, ukanishindanisha na Daimondo ambaye ni standard 7 dropout, nitashindwa vibaya kwasababu Dai ni very popular!
Mfano mzuri ni Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu amefanya nini na by the time anatwaliwa, angalia ameacha nini?! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain vs kuongozwa na average .
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08lP
Hujawahi kuwa na demokrasia nchi kwako, usijibaraguze. Labda Malawi, Kenya, Zambia, Botswana, Ghana, Namibia, Senegal na Africa Kusini wakilalamikia demokrasia ndio watakuwa na hoja kidogo.Demokrasia tuliyoletewa ndio inawezesha kupatikana kwa hao madikteta vilaza. Wanakuja kwa upole kuomba kura wakitumia ujinga wa wananchi kama advantage. Wakishaingia madarakani ndio wanafichua makucha yao.
Ni bora tungekomaa na wale wale wakina Lumumba, Mugabe, Gadafi and the likes kuliko haya masuala ya demokrasia.