Kwanini Sokoine aliuawa na kwanini Imran Kombe baaaye naye aliuawa?

Kwanini Sokoine aliuawa na kwanini Imran Kombe baaaye naye aliuawa?

salisalum

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
423
Reaction score
140
Kuna nadharia kificho (conspiracy theory) kwamba Sokoine na Imran Kombe waliuawa na kwamba vifo vyao vinahusiana. Je, kuna maelezo kishawishi yapi (convincing) kufanya nadharia hiyo iwe na mashiko?

Karibuni
 
Imran Kombe ni kweli aliuwawa ila ilikuwa tayari ameshastaafu. Kuhusu Sokoine ilikuwa ni ajali
 
Yaliyomo Yamo.
Nakukumbusha Mleta Mada Usiturudishe Nyuma
Unalotaka Kujua Limejadiliwa Humu
Thread Ipo Search Tu
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, watu wa idara hawajaanza leo "uwalangani" Mungu anawalipa hapahapa duniani.
 
Back
Top Bottom