Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Feb 17, 2025 #1 Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu. Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa Ni hayo tu
Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu. Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa Ni hayo tu
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,187 Reaction score 4,857 Feb 17, 2025 #2 Uchawi unarithishwa au kununua Pia elewa kwamba serikali haiamini uchawi
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Feb 17, 2025 #3 Pang Fung Mi said: Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu. Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa Ni hayo tu Click to expand... Hivi ushirikina utaacha lini wewe!!
Pang Fung Mi said: Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu. Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa Ni hayo tu Click to expand... Hivi ushirikina utaacha lini wewe!!