Kwanini Songea na wangoni mchango wao kwenye vita ya majimaji unakuzwa sana?

Kwanini Songea na wangoni mchango wao kwenye vita ya majimaji unakuzwa sana?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wanahistoria naomba mnijuze. Vyanzo mbalimbali vinaonyesha wangoni waliingia kwa kuchelewa sana vita ikikaribia kuisha na wakajitoa fasta baada ya kugundua maji ni uongo.

Inaonekana centre ya vita ilikuwa maeneo ya mahenge kuelekea huko Lindi. Ikoje hii Songe kufanywa kama ilikuwa centre ya vita?
 
Kwa ufahamu wangu waislam walikuwa wanatia udhu kabla ya kwenda kupigana hivi vita. Lakini kwa waliokuwa hawajui nini udhu ndio wakaita vita vya majimaji. Mfano waislam tukienda kulala lazima tutie udhu jee utaita usingizi wa majimaji?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom