Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Kwanza Spear tyre ni nini?
 
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Hili suala hata mi nilishashindwa kuelewa aisee
 
Gari inapozidi kubeba mzigo, inapunguza ufanisi wake wa kwenda kasi. Hilo tairi la kutumika wakati wa dharura inabidi liwe dogo ili kupunguza uzito ambao ni mzigo wa ziada kwenye gari. Likiwekwa kubwa kama haya ya kawaida, uzito utaongezeka na kupoteza nguvu ya gari ambayo ingesaidia kuongeza mwendo.
 
Hili tairi linawekwa dogo katika umbo lile makusudi ili libaki kuwa l spare na si la matumizi ya moja kwa moja.linatumika kwa dharura ili unapoliweka kutokana na muundo wake tofaut na menzake likukere usiendelee kulitumia hivyo ukatengeneze tairi mahsusi.lingekuwa kama la kawaida ingekuwa mtu akishaweka anajisahau tena kutengeneza au kununua lile lenyewe.

So wameweka hivyo kwa makusudi kila unapolitizama unaona kero na show ya gari haipendezi hivyo huwez litumia kwa muda mrefu mwishowe unalitoa.

Hichi kipindi kuna watu wanadunda na tairi la dharura mwezi mzima.

Lakini sababu ya uzito na nafasi bado zinaleta mantiki. Kumbuka gari kubwa tairi ya akiba haina tofauti na zile zinazotumika kwenye gari moja kwa moja.

Hizi ndogo zinakua kwenye gari ndogo.
Wazo la kukera nimelipenda pia.
 
Back
Top Bottom