Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kwanza Spear tyre ni nini?Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!
Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?
Maajabu sana.
Hili suala hata mi nilishashindwa kuelewa aiseeHuwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!
Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?
Maajabu sana.
Tyre ya ziada.Kwanza Spear tyre ni nini?
Na spare tyre nayo ni nini?Tyre ya ziada.
Tairi ya ziada lkn kwa kiingereza sahihi kabisa.Na spare tyre nayo ni nini?
Sukuran sana mkuu wa uvumilivu wako wa maswali yanguTairi ya ziada lkn kwa kiingereza sahihi kabisa.
Hahah asante kwa kutusaidia kujua tofauti kati ya SPARE VS SPEAR mkuu.Sukuran sana mkuu wa uvumilivu wako wa maswali yangu
Gari inapozidi kubeba mzigo, inapunguza ufanisi wake wa kwenda kasi. Hilo tairi la kutumika wakati wa dharura inabidi liwe dogo ili kupunguza uzito ambao ni mzigo wa ziada kwenye gari. Likiwekwa kubwa kama haya ya kawaida, uzito utaongezeka na kupoteza nguvu ya gari ambayo ingesaidia kuongeza mwendo.
Hili tairi linawekwa dogo katika umbo lile makusudi ili libaki kuwa l spare na si la matumizi ya moja kwa moja.linatumika kwa dharura ili unapoliweka kutokana na muundo wake tofaut na menzake likukere usiendelee kulitumia hivyo ukatengeneze tairi mahsusi.lingekuwa kama la kawaida ingekuwa mtu akishaweka anajisahau tena kutengeneza au kununua lile lenyewe.
So wameweka hivyo kwa makusudi kila unapolitizama unaona kero na show ya gari haipendezi hivyo huwez litumia kwa muda mrefu mwishowe unalitoa.
Naweza kuipata dukani hiyo temporary? Yangu imekua kipara (flat)Ile haiitwi spare tyre bali temporarily tyre. Matumizi itumike pale dharula inapojitokeza ili ufike eneo la huduma pia haifai kufungwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app