Kwanini Spika Job Ndugai ameonyesha kumhofia DC Ndejembi wa Kongwa?

Kwanini Spika Job Ndugai ameonyesha kumhofia DC Ndejembi wa Kongwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake?

Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?!

Maendeleo hayana vyama!
 
majimbo ya mkoa wa dodoma yanatakiwa kuwa chini ya wabunge wazaliwa wa mikoa mingine. wagogo ni bure kabisa kazi yao kujipendekeza tu.
 
Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake?

Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?!!

Maendeleo hayana vyama!
Ndugai si alisema hagombei tena ubunge?
 
Back
Top Bottom