J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 16, 2020 #1 Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?! Maendeleo hayana vyama!
Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?! Maendeleo hayana vyama!
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,427 Reaction score 4,944 Jun 16, 2020 #2 majimbo ya mkoa wa dodoma yanatakiwa kuwa chini ya wabunge wazaliwa wa mikoa mingine. wagogo ni bure kabisa kazi yao kujipendekeza tu.
majimbo ya mkoa wa dodoma yanatakiwa kuwa chini ya wabunge wazaliwa wa mikoa mingine. wagogo ni bure kabisa kazi yao kujipendekeza tu.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 11,795 Reaction score 36,704 Jun 16, 2020 #3 johnthebaptist said: Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?!! Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Ndugai si alisema hagombei tena ubunge?
johnthebaptist said: Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?!! Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Ndugai si alisema hagombei tena ubunge?
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jun 16, 2020 #4 Anamgwaya kivipi...?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 16, 2020 Thread starter #5 G Sam said: Ndugai si alisema hagombei tena ubunge? Click to expand... Thubutu!