Sisi social workers hufanya observation nyingi za kijamii interaction na raia wengi inatupa fursa kujua mijadala yao ya moto na wanacho waza wakati huo.
Nilichoona mitaa mingi mijadala ni ya mipira hasa Simba na Yanga, maisha ya ndoa na biashara, wakati kuna isssue inayo trend sana twitter, Facebook na JF ya bandari kupewa wawekezaji wa DP World ukiingia twitter unaweza ukadhani Nchi nzima kuna fire, kumbe ni tofauti watu hawana hili au lile 95% ya raia hawajalipa mda kabisa kufuatilia hilo wana amini wa bunge wao kuwakilisha ipasavyo.
Hii inaleta taswira gani katika jamii yetu kwamba kuna % ndogo ya elites wanao wakilisha mawazo ya jamii yetu au ni masilahi binafsi au kuna wachochezi. Raisi alikua Mwanza amepokelewa kwa shangwe bila bango lolote la kumkosoa kwa bandari ubinafsishwa.