britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wao wanasemaga njoo branch unawaambia Sipo Tanzania wanasema oo tuma emailWaajiriwa wengi hawana weledi wa kujibu kwa haraka, sisi tunapiga moja kwa moja hawapokei Itakuwa emails? You are not serious man
Ndugu email umeenda mbali sana, tuzungumzie customer care kwanza uko kwenye email ni levo za juu.Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania ๐น๐ฟ
Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu
Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa baada ya mwezi Mpaka usumbufu sana
When will we be smart ?
Wanakera sana
Britanicca
Hatari sanaNdugu email umeenda mbali sana, tuzungumzie customer care kwanza uko kwenye email ni levo za juu.
Wenzetu nchi zilizoendelea mtu anaishi mbali na huduma za jamii, au hana hata muda wakufika ofisini na simu yake ndio inamuweka karibu na huduma hizi apatapo changamoto
Kuna wateja wanaenda physically lakini bado hawapati huduma bora.Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania ๐น๐ฟ
Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu
Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa baada ya mwezi Mpaka usumbufu sana
When will we be smart ?
Wanakera sana
Britanicca
Hawajibu hata kidogoHahaha, Umenikumbusha kuna siku nilitaka niweke challenge humu ya Kutuma Email kwa Taasisi za Uma, Ili tuone tutajibiwa baada ya Muda gani
Ni Hatari kabisaKuna wateja wanaenda physically lakini bado hawapati huduma bora.
Mambo ya email na wabongo wapi na wapi engine tunaiga tuKuna wateja wanaenda physically lakini bado hawapati huduma bora.
Kuhusu namba za tari, sio tu tari ni sekta kadhaa sjajua ttcl amekata huduma au wao wamegoma kuzitumia, Kuna soku nilipiga simu TFRA ilipokelewa lakini wakawa wanaendelea kupiga stori in the background huku mimi nikishia kusema halo! Habari! mpaka nikaamua kukata simu mwenyewe maana nilipiga kwenye namba ike ya mezani , zile za toll free ndo haziiti kabisa