Kwanini Tahiti Elon Musk ana ushawishi kwenye Kila kitu kuliko matajiri wengine waliowahi uwepo Dunia?

Kwanini Tahiti Elon Musk ana ushawishi kwenye Kila kitu kuliko matajiri wengine waliowahi uwepo Dunia?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Wakuu mnijuze.

Wamewahi uwepo mabilionea wengi Dunia I. Wakina Bil Gate, Carlos Slim, Warren Buffet, Suleiman maana wa Daudi etc

Ninachoshangaa huyu jamaa wanakuwa na ushawishi karibu katika Kila kitu Duniani.

SMO ya Urusi Ukraine yeye yuko na ndiye anayesikilizwa.

Mashariki ya kazi Yumo.

Uchaguzi Wa US anahusika pakubwa pia. Hata hapa kwetu TZ alipitapita na internet yake.

Wakati watu wote wanahamia Twita yeye kainunua na kubadilisha anavyotaka. Inaonekana akitaka kununua chochote hashindwi.

Huyu mwamba Ana nini cha tofauti na wenzake waliomtangulia.
 
Mods maboresho kidogo, ni Tahiti Elon Musk
 
zitakuja nadharia nyingi halafu na hautapata majibu!
 
Venezura kwenye mgogoro ulioibuka Naye kajiingiza.
 
Back
Top Bottom