Uganda kwa story za undugu na ushirikiano zote tunazoambiana wameshindwa kuja kuchezea mechi yao hapa hapa au matengenezo ya uwanja yamekwamisha?Nchi ya Uganda miundombinu yake ni mibovu sana kama ilivyokuwa Tanzania ya awamu ya 3, na 4, na Tanzania tunarudi miaka kumi Nyuma, Miundombinu yetu haifanyiwi marekebisho baraba zinaanza kuchoka, Uwanja wa mkapa umechakaa kuta zimebadilika rangi nyasi zimechoka.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Umemuelewa alichomaamisha..
Kamaanisha uwanja wa rwanda utatumika kwenye game ya rwanda vs benin kama sikosei, kama utatumika means CAF wameuruhusu. Hivyo basi uganda wangepeleka game yao hapo rwanda ili watanzania na waganda iwe rahisi kuona game yao kuliko huko misri, ila anahisi bifu za kitaifa baina ya rwanda na uganda imepelekea mechi waipeleke huko misri, na sio kwamba eti afrika mashariki uwanja ni mmoja tu wa LUPASO.
Smart codetz alikuwa sahihi kwa 100%. Hata media za Rwanda wenyewe waliripotiInabidi kama mwandishi uwe unajiridhisha na taarifa unazopewa na source moja. Mimi nimekupa taarifa nyingine kuwa mechi ya marudiano ya Rwanda vs Benin ya March 27 inaenda kufanyikia Huye Stadium ulioko Rwanda.
Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa za jana kutoka Sportsnews Africa, mechi imerudishwa Kigali.Rwanda will play their home game against Benin slated for March 27 in Cotonou after the Confederation of African Football (CAF) announced that Huye Stadium is not qualified yet to host the AFCON qualifiers due to substandard hotels.
Halafu wanaendeleaThe Confederation of African Football has reversed its decision to reschedule the match between Rwanda and Benin on the fourth day of the 2023 African Cup of Nations qualifiers. While in a correspondence dated March 21, 2023, the body revoked the approval of the stadium of Huye for lack of hotel facilities of international level minimum 4 stars and rescheduled the match at the General Mathieu Kérékou stadium of Cotonou, it has just chosen the Pele stadium of Kigali.
Sasa kama tatizo ni Hotel Falicities, huko Pele Stadium zitatumika hotel zipi?! Hapo ukitafakari utagundua Rwanda walifanya lobbing na ndo maana mechi imerudishwa Kigali kwa sababu hata suala la mechi kuchezwa bila mashabiki wala halina uhusiano na kukosekana kwa hotels za angalau Nyota 4.CAF requires that exceptionally, the match Rwanda vs Benin be played at the Pele Stadium Kigali (Rwanda), Tuesday, March 28, 2023, on the strict condition that no fan attends, being specified that the said stadium remains suspended until further notice,
Aliyesema habari za Rwanda kutokuwa na uwanja siyo Mwanamaji bali ni Smart codetz.Mwanamaji alikuwa sahihi kwa 100%. Hata media za Rwanda wenyewe waliripoti
Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa za jana kutoka Sportsnews Africa, mechi imerudishwa Kigali.
Halafu wanaendelea
Sasa kama tatizo ni Hotel Falicities, huko Pele Stadium zitatumika hotel zipi?! Hapo ukitafakari utagundua Rwanda walifanya lobbing na ndo maana mechi imerudishwa Kigali kwa sababu hata suala la mechi kuchezwa bila mashabiki wala halina uhusiano na kukosekana kwa hotels za angalau Nyota 4.
AiseeUwanja wa Timu ya Taifa ya Uganda umepoteza sifa za CAF kutoka na miundombinu mibovu ya kufika uwanjani (Barabara)
Barabara imekuwa na changamoto sana imepelekea CAF kuzuia kutumika uwanja huo mpaka pale watakaporekebisha barabara hizo.
CAF wameongeza vigezo vya Ubora na Sifa za Viwanja vitakavyotumika kwa mashindano husika ya CAF kwa East Africa ni Uwanja wa Benjamin Mkapa pekee uliokidhi viwango vya CAF japo wameambiwa wafanye marekebisho baadhi ya maeneo.
Chama cha soka walienda Rwanda na Kenya ila CAF iliwaambia viwanja hvyo havina sifa za kutumika kwenye mashindo ya CAF, waganda wakaamua kupeleka Misri game yao.
Unapenda sana ku-twist mambo! Hoja ni kwamba mlimbishia suala la Kiwanja kufungiwa hadi ukamtaka awe anajiridhisha taarifa anazopewa, na wewe ukadai mechi itapigwa Huye! Lakini kwa tarehe uliyosema hayo, inaonesha wazi Smart codetz alikuwa Sahihi kwa 100% lakini wewe ambae ulijaribu kuaminisha watu kwamba ulikuwa sahihi, kumbe hukuwa sahihi!Aliyesema habari za Rwanda kutokuwa na uwanja siyo Mwanamaji bali ni Smart codetz.
Pia Huye Stadium upo mji wa Butare wakati Kigali Pele Stadium upo Kigali. Unadhani Kigali hakuna 4 star hotel? Pele ni uwanja mpya kwa hiyo labda haujapitia taratibu za ukaguzi ndiyo maana wameuruhusu kama dharura tu kwa condition ya kutokuwa na mashabiki.
Msingi wa majadiliano yale ulikuwa ni kama eneo hili la Afrika Mashariki kama kuna uwanja unaoweza kutumia kwa mashindano hayo ya CAF, ndiyo mimi katika kufukunyua nikakuta mechi ya Rwanda itachezewa nyumbani.Unapenda sana ku-twist mambo! Hoja ni kwamba mlimbishia suala la Kiwanja kufungiwa hadi ukamtaka awe anajiridhisha taarifa anazopewa, na wewe ukadai mechi itapigwa Huye! Lakini kwa tarehe uliyosema hayo, inaonesha wazi Smart codetz alikuwa Sahihi kwa 100% lakini wewe ambae ulijaribu kuaminisha watu kwamba ulikuwa sahihi, kumbe hukuwa sahihi!