Kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganishwe kuwa chombo kimoja?

alaksh natena

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
462
Reaction score
523
Habarini za jioni wakuu.

Naomba kutambua kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganike na kufanya kazi moja chini ya Sheria moja inayofanana.

Nashangaa hili sababu vyombo vyote vya kiulinzi na usalama ni vya Muungano na vinafanya kazi zao pamoja shida ipo PCCB na ZAECA Kwanini?

Kwanini kisiwe chombo kimoja Cha Muungano? Mama Samia na Dkt. Mwinyi nadhani wakae pamoja na kuliangalia hili otherwise kutakuwa na tatizo sehemu

Nyumba moja itajengwaje na watu wanagombania fito? Nipo tayari kukosolewa wakuu.
 
Wanasiasa wanadanganya sana wananchi.

Kimsingi hakuna serikali ya muungano bali kuna serikali ya Tanganyika ilivyovikwa koti la muungano.

Na serikali ya zenji inayotafuta mamlaka yake kamili mdogomdogo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vyombo vingine vya ulinzi na usalama ni vya Muungano?
 
takukuru haiwasaidii watanganyika kuikalia Zanzibar hivyo haiitajiki huko
 
Taasisi ndogo Sana ya kuzuia magendo zenji Inafanya za kazi za polisi na Tiss IPO kwaajili ni Kama FIU hapa Bara
Sio kama ffu wale ni kikosi cha kuzuia na kupambana na magendo KMKM
 
Back
Top Bottom