alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Wanasiasa wanadanganya sana wananchi.Habarini za jioni wakuu.
Naomba kutambua kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganike na kufanya kazi moja chini ya Sheria moja inayofanana.
Nashangaa hili sababu vyombo vyote vya kiulinzi na usalama ni vya Muungano na vinafanya kazi zao pamoja shida ipo PCCB na ZAECA Kwanini?
Kwanini kisiwe chombo kimoja Cha Muungano? Mama Samia na Dkt. Mwinyi nadhani wakae pamoja na kuliangalia hili otherwise kutakuwa na tatizo sehemu
Nyumba moja itajengwaje na watu wanagombania fito? Nipo tayari kukosolewa wakuu.
Mbona vyombo vingine vya ulinzi na usalama ni vya Muungano?Wanasiasa wanadanganya sana wananchi.
Kimsingi hakuna serikali ya muungano bali kuna serikali ya Tanganyika ilivyovikwa koti la muungano.
Na serikali ya zenji inayotafuta mamlaka yake kamili mdogomdogo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua mkuuHawawezi share budget...
takukuru haiwasaidii watanganyika kuikalia Zanzibar hivyo haiitajiki huko
Unaijua kmkm?Mbona vyombo vingine vya ulinzi na usalama ni vya Muungano?
Taasisi ndogo Sana ya kuzuia magendo zenji Inafanya za kazi za polisi na Tiss IPO kwaajili ni Kama FIU hapa Bara
Sio kama ffu wale ni kikosi cha kuzuia na kupambana na magendo KMKMTaasisi ndogo Sana ya kuzuia magendo zenji Inafanya za kazi za polisi na Tiss IPO kwaajili ni Kama FIU hapa Bara
Mkuu siyo FFU pls ni FIUSio kama ffu wale ni kikosi cha kuzuia na kupambana na magendo KMKM