Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Tunaipongeza serikali kwa kuajiri madaktari wengi sana mwaka huu hasa tamisemi.
Pamoja na hilo kumekuwa na malalamiko mengi sana kwa wale ambao wamesha oa na waliomba kupangiwa katika mikoa ambayo wapo wanaishi na familia zao.
Cha ajabu pamoja na watu hai kuanfika kwamba wameoa au wameolewa , tamisemi imewapangia mikoa ya mbali ambayo hata hawakuchagua.
Hii inaonekana kuleta usumbufu kwenye familia na kuletea usumbufu wa kuanza kuomba uhamidhi.
Kwanini tamisemi haijazinvatia merital status.?