Sasa kuna mikoa itakosa kabisa ma Dr kama kila mtu atasema aende kwa mwenza ......nenda kwanza ulikopangiwa baadae utakuja ku swap...%ikibidiTunaipongeza serikali kwa kuajiri madaktari wengi sana mwaka huu hasa tamisemi..
Pamoja na hilo kumekuwa na malalamiko mengi sana kwa wale ambao wamesha oa na waliomba kupangiwa katika mikoa ambayo wapo wanaishi na familia zao..
Cha ajabu pamoja na watu hai kuanfika kwamba wameoa au wameolewa , tamisemi imewapangia mikoa ya mbali ambayo hata hawakuchagua..
Hii inaonekana kuleta usumbufu kwenye familia na kuletea usumbufu wa kuanza kuomba uhamidhi.
Kwanini tamisemi haijazinvatia merital status.?
Sawa oa bila kazi si umuamishe mkeoNdoa ni muhimu kwa ustawi wa taifa
Acha kazi ulee ndoaHawaja watendea haki