Kwanini tamisemi hawajawapangia vituo vya kazi za ualimu wahitimu wa st john-dodoma campus..?

Mimi mwenyewe nimetuma maombi mwaka jana kwanjia ya posta ila sijapangiwa na nina Diploma ya PHYSICS AND CHEMISTRY.
 
Usihofu kk nimatatiz ya utawala wa chuo kuto tuma orodha ya majina wizarani kwa wakati, Sio tatz la chuo chenu tu hata baadhi ya vyuo vya ualimu vimekumbwa na tatizo ilo kwa mfano wahitimu wa chuo cha morogoro cha ualimu waliokuwa na supp mwaka juzi mwaka jana wame clear supp zao bt chuo hakikupeleka majina yao wizarani na kupelekea wao kukosa ajira! lakin jambo zur ni kwamba uongoz wa vyuo husika umetuma majina wizaran na wizara imeshaanza kushughulikia hivyo soon mtapata ajira zenu!:flypig:
 
Tatizo hamna sifa wanazozitaka.....na kama ww ulimaliza f4 ukaenda moja kwa moja dploma atukuchukui kaa ukilijua ilo....cz hukusoma ngaz ya chet
 
tulieni mtapangiwa tu ila sio ukipangiwa unaanza kulalama mara oooo mbali umezaliwa twn.
 
Mbona hadi sasa wengi tu tumeshapangiwa sehemu ambazo kwako unaona ni utata????
Muhimu ni kupata ajira na mambo mengine yoote yatajipa taratibu.
Poleni sana waalimu wenzangu ila vuteni subira kwani TAMISEMI waliahidi majina yenu watatoa wiki hii.
 
pole zenu....!

ila mpaka sasa sidhani kama kutakuwa na uwezekano wa kupangiwa shule zenye uafadhali wa huduma za jamii km maji, umeme na hospitali...

hawa wenzetu watakuja bwagwa sehemu zenye utata mwingi sana!


Mbona hadi sasa wengi tu tumeshapangiwa sehemu ambazo kwako unaona ni utata????
Muhimu ni kupata ajira na mambo mengine yoote yatajipa taratibu.
Poleni sana waalimu wenzangu ila vuteni subira kwani TAMISEMI waliahidi majina yenu watatoa wiki hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…