KERO Kwanini TANESCO hamtoi taarifa juu ya kukatika kwa umeme mpaka pale watumiaji wa huduma zenu wanapolalamika katika mitandao?

KERO Kwanini TANESCO hamtoi taarifa juu ya kukatika kwa umeme mpaka pale watumiaji wa huduma zenu wanapolalamika katika mitandao?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake.

Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
 
Na simu za wamiliki wa mita yaani wateja wanazo. Kwa nini Tanesco inashindwa kutuma hata text kuwa mita sehemu kadhaa zitakosa umeme kwa sababu kadhaa. Mana system uchwara inatambua location za mita zote za Tanesco.
 
Inashangaza sana, hivi kwanini enzi za Magufuli Umeme ulikuwa haukatiki?
 
Sasa hv umeme unakatika Daily...TANESCO watueleze kama kuna mgao wa umeme jijini Dar-es-salaam
 
Back
Top Bottom