Kwanini TANESCO wasiruhusu sekta binafsi kusambazia umeme wananchi majumbani?

Kwanini TANESCO wasiruhusu sekta binafsi kusambazia umeme wananchi majumbani?

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato.

Hii ina maana Tanesco, pamoja na kujawa na watalaam waliobobea, wameshindwa kabisa kuwafikishia wananchi umeme.

Kwanini wasiruhusu sekta binafsi ilawasambazia umeme wananchi majumbani. Nadhani tutaondokana na ukiritimba wa miaka nenda rudi wa Tanesco.

Ndugu Kafulila,tunaimba PPP kwenye usambazaji wa umeme majumbani.
 
Back
Top Bottom