vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 895 Reaction score 571 Feb 6, 2020 #1 Ndugu wana JF. Salamu. Kwenye nchi kadhaa nilizosafiri nimeona madukani/masokoni bidhaa zote zimebandikwa bei. Hapa nchini kwetu hali ni kinyume. Duka moja lakini watu tunauziwa bidhaa moja kwa bei tofauti. Maswali: 1. Huu ni uzembe wa maafisa biashara? 2. Sera mbovu ya biashara nchini? 3. Wafanyabiashara wameruhusiwa kuwaibia wananchi? Naomba wenye weledi watujuze Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wana JF. Salamu. Kwenye nchi kadhaa nilizosafiri nimeona madukani/masokoni bidhaa zote zimebandikwa bei. Hapa nchini kwetu hali ni kinyume. Duka moja lakini watu tunauziwa bidhaa moja kwa bei tofauti. Maswali: 1. Huu ni uzembe wa maafisa biashara? 2. Sera mbovu ya biashara nchini? 3. Wafanyabiashara wameruhusiwa kuwaibia wananchi? Naomba wenye weledi watujuze Sent using Jamii Forums mobile app
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Feb 6, 2020 #2 Tanzania huku kwetu bei ni maelewano.
Kilosaone JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 407 Reaction score 219 Feb 6, 2020 #3 Ts wizi m2pu Sent using Jamii Forums mobile app
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Feb 6, 2020 #4 wizi mtupu, kila mtu anaPIGWA na bei yake,
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Feb 6, 2020 #5 Labda wanaona ni gharama nyingine kununua price gun Sent from my iPhone using Tapatalk
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Feb 6, 2020 #6 Waandike ili washindwe kutuibia
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Feb 7, 2020 #7 Huku madalali ndio wanatafuta wateja, Bidhaa pia inauzwa kwa bei ya dalali,hivyo ukiandika bei madalali watashindwa kufanya kazi yao. Ukiwa na brand inayojulikana hauhitaji madalali hivyo utauza kwa bei husika hapo ruhusa kuandika bei
Huku madalali ndio wanatafuta wateja, Bidhaa pia inauzwa kwa bei ya dalali,hivyo ukiandika bei madalali watashindwa kufanya kazi yao. Ukiwa na brand inayojulikana hauhitaji madalali hivyo utauza kwa bei husika hapo ruhusa kuandika bei