Aman iwe nanyi wandugu!
kama topic inavyojieleza, ni nadra kukuta statue or sanamu ya viongozi mashuhuri ndani ya Bongo except ile ya mwalimu nyerere...sina uhakika kama zipo nyinginezo! hata hivyo hakuna utamaduni wa kutoa trophy kama kumbukumbu kwa washindi or mashujaa kama alama ya kuwaenzi.
Uzoefu wa nchi nyingine;
nikilinganisha na nchi nyingine, kwa mfano botswana, Namibia na hata Angola-wao wana utamaduni wa kuandaa statue kwa wapendwa wao especially viongozi wao na hata wanamichezo waliowahi kuvuma katika enzi zao. wenzetu wanajali sana tamaduni na desturi zao, hivyo wanazi-express in term of Art.
SWALI
kwa nini sisi tusiweke sanamu kubwa pale Morogoro la kumkumbuka Hayati Mbaraka Mwishehe kama alama ya Shujaa wa Muziki, na hazina ya Warugulu?
Monroe Statue in Chicago-USA
|
Hiyo sanamu juu ni Makutano ya Christ Church mjini Windhoek.
Kudu Statue-Windhoek. kama ishara ya kutukuza utalii wao.
sanamu ya Bob Marley mjini Addis