Kwanini Tanzania hakuna utaratibu wa Tip Jar kwenye maduka makubwa?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi. Jamiiforums ikiwa imeanza kuwa mchapishaji, ituambie, vinginevyo iache maandishi kama yalivyo au ikiyahariri ijitokeze hadharani. How hard is that?
 
Inasikitisha kwa sababu hata mawasiliano madogo tu wanashindwa - Aibu!
 
Wangeweka info kwamba maudhui haya yamehaririwa. Original title ilikuwa na maneno mawili tu: Tip Jar. Angalia headline aliyoiandika mod. Halafu anajificha asijulikane, ionekane ni kama vile mwandishi ndiye aliyeandika hivyo, wakati siyo.
 
Back
Top Bottom