Kwny awamu hii ya 5 vitu vya dizaini hio vimeanzishwa kwa wingi sana,nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuu?Mniombeeeeeeee.
Kwny awamu hii ya 5 vitu vya dizaini hio vimeanzishwa kwa wingi sana,nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuu?Mniombeeeeeeee.
Mkuu ina maana sheli zote za Puma, total, engen nk zilizotapakaa nchi nzima hujawahi kuziona? Benki zote kubwa kama CRDB, NMB, NBC nk si zipo nchi nzima? Huku kanda ya kaskazini kuna mtu anaitwa Panone ametandaza biashara zake za sheli na supermarkets kila mahali na jina ni hilo hilo anatumia. Kabla ya huyo kulikua na Mr Price sijui aliishia wapi. Kuna baadhi ya hotels pia wapo mikoa kadhaa mf Regency na jina wanatumia hilo hilo. Shule pia zipo na kuna biashara ya makanisa ya kiroho ambayo yana branches mikoa karibu mingi.Kwanini hatuna biashara ambayo unaweza ikuta imeenea nchi nzima?
Mfano biashara za wenzetu kama walmart au unakuta kuna pharmacy zimejaa nchi nzima kama Walgreens au CVS.
Unakuta kuna maduka ya electronics, vinywwji. nguo au spare parts yamesambaa nchi nzima. Yanatumia brand moja na quality ya products unakuta ni moja. Kwanini Tanzania hatuna biashara za hivyo.
Mitaji mkuuKwanini hatuna biashara ambayo unaweza ikuta imeenea nchi nzima?
Mfano biashara za wenzetu kama walmart au unakuta kuna pharmacy zimejaa nchi nzima kama Walgreens au CVS.
Unakuta kuna maduka ya electronics, vinywwji. nguo au spare parts yamesambaa nchi nzima. Yanatumia brand moja na quality ya products unakuta ni moja. Kwanini Tanzania hatuna biashara za hivyo.
'Huku kanda ya kaskazini kuna mtu anaitwa Panone ametandaza biashara zake za sheli na supermarkets kila mahali na jina ni hilo hilo anatumia.'Mkuu ina maana sheli zote za Puma, total, engen nk zilizotapakaa nchi nzima hujawahi kuziona? Benki zote kubwa kama CRDB, NMB, NBC nk si zipo nchi nzima? Huku kanda ya kaskazini kuna mtu anaitwa Panone ametandaza biashara zake za sheli na supermarkets kila mahali na jina ni hilo hilo anatumia. Kabla ya huyo kulikua na Mr Price sijui aliishia wapi. Kuna baadhi ya hotels pia wapo mikoa kadhaa mf Regency na jina wanatumia hilo hilo. Shule pia zipo na kuna biashara ya makanisa ya kiroho ambayo yana branches mikoa karibu mingi.
We sema sio kiviile kama mbele maana wafanyabiashara wetu wengi bado mitaji ni midogo na hawana majina makubwa nje ya sehemu walizoanzia biashara.