Kuhusu kwenda veta ni personal issuekabisa kazi ni kipimo cha utu. Vipi wasio na kazi au ndio waende VETA!
Dah inasikitisha sana, ila kuna nchi zinapitia majanga kama ukame na vita zisizokoma mfano Somalia, nilitegemda amani inayosifika Tanzania iendane na furaha!Hata ingekuwa ni wewe blooo ungekuwa na furaha kweli?
Nchi kina Madelu wanajitungia nyuzi eti wanapigwa vita wakati wamepaisha uchumi, nchi ukiamka asubuhi unakuta mtu wa miaka 85 kachaguliwa makamo mwenyekiti wa chama kisa ni mtu wao, nchi ambayo mtu unajipinda miaka 4 kwa shida na dhiki kuu unamaliza degree ya civil engineering alafu unaambiwa haya sasa nenda veta kasomee ufundi uashi
Bloo hata ingekuwa wewe ungekuwa na furaha kweli?
Wanajua nchi zao zina majanga ya kiasili so wananchi wameyapokea wanaishi nayo sasa kwetu tunaona Mungu katubariki kila kitu ila kuna baadhi ya wenzetu wanatukwamisha, unakuwaje na furaha hapoDah inasikitisha sana, ila kuna nchi zinapitia majanga kama ukame na vita zisizokoma mfano Somalia, nilitegemda amani inayosifika Tanzania iendane na furaha!
umejenga hoja vizuri, unashauri ni kifanyike kurudisha furaha tena kwa watanzania.Wanajua nchi zao zina majanga ya kiasili so wananchi wameyapokea wanaishi nayo sasa kwetu tunaona Mungu katubariki kila kitu ila kuna baadhi ya wenzetu wanatukwamisha, unakuwaje na furaha hapo
Somalia wanafuraha iliyopitiliza kwa sababu hawana serikali ya kuwabanabana na kuwaibia, kila mtu anakula kwa mtutu wake wa bundukiNatumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Ni kweli mkuu anarchy inaweza kuchangia uhuru na kuwa na furaha ila kwa hasara ya kumwaga damu sana.Somalia wanafuraha iliyopitiliza kwa sababu hawana serikali ya kuwabanabana na kuwaibia, kila mtu anakula kwa mtutu wake wa bunduki