Kinachosikitisha ni yale matumizi ya mikopo hata kama ni kidogo. Kunakuwa na upigaji mwingi na wale wanaobainika kufuja fedha za walipa kodi hawachukuliwi hatua stahiki. CAG anajipinda kuwabainisha wapigaji lakini mwisho wa siku hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya wale wanaoshindwa kutoa majibu ya Hoja zilizobainishwa.Kopa kidogo sasa unakopa na Huna uhakika
Niliwahi kusikia ripoti moja kuwa kampuni inadai Bilioni1+ lakini haijui inamdai nani!Kinachosikitisha ni yale matumizi ya mikopo hata kama ni kidogo. Kunakuwa na upigaji mwingi na wale wanaobainika kufuja fedha za walipa kodi hawachukuliwi hatua stahiki. CAG anajipinda kuwabainisha wapigaji lakini mwisho wa siku hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya wale wanaoshindwa kutoa majibu ya Hoja zilizobainishwa.
Lakini kumbuka hiyo Ni furaha ya muda mfupi sana. Tumeshaanza kulia lakini bado hatujalia kwa sauti kubwa. Subiri maumivu yakolee. Tazama yanayoendelea huko - Watoto kwa Watoto wanananiliu sana eti wamejifunza Afya ya Uzazi na Jinsia, Watoto-wanafunzi na Waalimu wanadinyana kinoma kila siku (Kwa hiari au Ubakaji), adhabu ambayo hata Serikali huitumia ya viboko eti hakuna kumchapa mwanafunzi shuleni - tunasema ni Udhalilishaji. Hayo ni katika Sekta ya Elimu tuu. Sasa angalia na Sekta nyinginezo e.g. aina na viwango vya ubora wa huduma zitolewazo n.k. n.k. Furaha itatoka wapi?? Tuna vaa uso wa malimao siku zote - Hakuna mwenye furaha.Naam,Furaha yetu imejificha hapo!
Duh! Hicho nacho ni kituko Mubashara. Eti hawajui wanamdai nani lakini wanayo Madai mezani kwao. This is absurd.Niliwahi kusikia ripoti moja kuwa kampuni inadai Bilioni1+ lakini haijui inamdai nani!
Tunawang'oaje kwa mfano.Tung'oe mafisadi wetu
Hivi inashindikana kuipika ripoti ya uongo kutoka Kwa CAG Ili wananchi wasione Mihela inayopigwa.Kinachosikitisha ni yale matumizi ya mikopo hata kama ni kidogo. Kunakuwa na upigaji mwingi na wale wanaobainika kufuja fedha za walipa kodi hawachukuliwi hatua stahiki. CAG anajipinda kuwabainisha wapigaji lakini mwisho wa siku hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya wale wanaoshindwa kutoa majibu ya Hoja zilizobainishwa.
Yah, Bora kufa kishujaa kazini, kuliko kufa kwa kipindupindu, malaria, famine etcNi kweli mkuu anarchy inaweza kuchangia uhuru na kuwa na furaha ila kwa hasara ya kumwaga damu sana.
Nikuchangie nauli uende Somalia ukawe na furaha? Nipe namba ya simu au akaunti namba.Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
😂😂😂😂Nchi ya watu waongo mpaka wanajidanganya wao wenyewe na kukubali uongo wao haiwezi kuwa na furaha.
Hata ingekuwa ni wewe blooo ungekuwa na furaha kweli?
Nchi kina Madelu wanajitungia nyuzi eti wanapigwa vita wakati wamepaisha uchumi, nchi ukiamka asubuhi unakuta mtu wa miaka 85 kachaguliwa makamo mwenyekiti wa chama kisa ni mtu wao, nchi ambayo mtu unajipinda miaka 4 kwa shida na dhiki kuu unamaliza degree ya civil engineering alafu unaambiwa haya sasa nenda veta kasomee ufundi uashi
Bloo hata ingekuwa wewe ungekuwa na furaha kweli?
Unamsikiliza mtu anadanganya, unaona kabisa kuwa huyu anadanganya, na yeye mwenyewe anajua anadanganya, lakini anadanganya mpaka hata yeye mwenyewe anaanza kuuamini uongo wake mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂
Ila wee, nimecheka hatari 😂😂😂Unamsikiliza mtu anadanganya, unaona kabisa kuwa huyu anadanganya, na yeye mwenyewe anajua anadanganya, lakini anadanganya mpaka hata yeye mwenyewe anaanza kuuamini uongo wake mwenyewe 😂😂😂
watz waboreshe thinking yao, kuwa na furaha ni choice sio circumstances kama wengi wanavyoamini.ufikiri wa wengi wameacha uwe controlled na pesa,siasa,relationships nk wao wamebaki wapokeaji tu leo tukasirike niniNini kifanyike kubadili hii hali?
Haiwezekani mkuu. Mathematics is a Fact Finding mission. Hesabu hazijawahi kusema uongo. Kinachofanyika kwenye Auditing ni kuoanisha kilichotumika Fedha na Uthibitisho wa Uhalali wake (Valid Receipts). Baadaye wafuatiliaji huenda Field kujiridhisha Thamani ya kitu halisi na Fedha iliyotumika kama vinaendana i.e. Value for Money. Sio unajenga daraja la miti/fito urefu meta 4 halafu unasema limegharimu Tzs Bilioni+ Hutaeleweka.Hivi inashindikana kuipika ripoti ya uongo kutoka Kwa CAG Ili wananchi wasione Mihela inayopigwa.
La hasha. CAG anatoa Ripoti yake kwa Serikali ambayo ndo iliyomwajiri. Ni kosa la jinai kumdanganya na kumpotosha Mwajiri wako na ujue huyo unayemdanganya ndo Serikali yenyewe. Ikibainika; Hakuna rangi utaacha kuona.Usikute ripoti ya CAG ni maalumu Kwa kuturusha roho tu Ili tuone namna vile wanavyo rumbua huko madarakani (na hamna kitu mtafanya juu yetu.)
hawa sidhani hata kama wanakumbuka dunia ni yetu yoteTafuteni passport mtoke nje mkajaribu fursa zingine za maisha. Acheni upumbavu na lawama za kizwazwa, mtazeekea hapahapa na wakati dunia yote hii ni ya kwetu.
Kaweni hata mawinga Malaysia, Thailand na China… nendeni hata uturuki na kwingineko mkapate exposure muone baada ya miaka miwili mpaka mitatu kama mtakuwa ni watu walewale mlikuwaga mnalialia hovyo mitandaoni kuilaumu CCM na watu wake. Na wao hawawaambii…, wanakutazameni tu na mavichwa yenu kama mikaa. Mnazidiwa hata na Vijana wa Afrika Magharibi na Kirundi pamoja na wanyarwanda. Mavijana ya kitanzania HOVYO KABISA! kazi umbea na majungu tu
Mxeeeeeewww!