Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Huna D mbili?
Hujasoma, Cuba?
No jobs, life itakuaje?
Political insecurity je?
Hata BBC wameuliza the same question, D mbili ninazo ila huu ni mjadala hapa jukwaani wadau wanatoa reasons behind na jinsi ya kusolve.
 
Siasa ipo sana. Kuna demokrasia na uhuru wa kweli. Uchaguzi huru na wa haki. Kiongozi akishindwa kufilisha malengo aliojiwekea anajiuzulu. Serikali ya sasa ni ya mseto. Vyama zaidi ya vi 2 vinaendesha Serikali.
Hukuielewa hoja yangu hapo. Hoja ipo hivi: Wewe ulisema " Nchi ya Finland muda mwingi ni baridi hawawezi kuzalisha chakula lakini wamewekeza kwenye mambo mengine ya kuwaingizia kipato".
Na mimi nikapita mule mule kwamba ndani ya wanachokifanya i.e. mambo mengine ili kujiingizia kipato; haipo siasa ndani yake. Au wewe uliiona ipo siasa ?
 
Tuamue kuwachukia mafisadi kwa uzalendo
Chuki itatusababishia presha na sonona bila sababu za kimsingi kwani hao unaowachukia wanaweza wasilione hilo.
Napendekeza na kushauri tufanye Lobbying and Advocacy ili kuifikisha Agenda yetu kwa mafisadi na kuwawezesha kuipokea, kuikubali, kuiunga mkono na hatimaye kuifanyia kazi. Au unasemaje kiongozi?
 
Siasa ipo, bila kuwa na sera na mipango mizuri ya serikali sahau maendeleo. Na watunga sera na wanaofanya maamuzi makubwa ya nchi ni wana siasa.
 
Nawe jidangaaanyeee unayofurahaaa tena kweli kweli
 
Tuanzie hapa,nusu ya walichokwisha iba kilenge kutoa ajira na kupunguza umaskini katika taifa letu.
 
Tunaongozwa na wapumbavu, kwa Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi mifumo mingi imelala, kwasababu waliopewa dhamana ni wapumbavu, (Unworking government machineries)
 
Tunaongozwa na wapumbavu, upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi mifumo mingi imelala, kwasababu waliopewa dhamana ni wapumbavu, (Unworking government machineries)
These are very strong accusations mkuu, nafasi ya kubadilisha hilo ipo mwaka huu.
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe
Kabisa! suluhisho ni nini?
 
Tuanzie hapa,nusu ya walichokwisha iba kilenge kutoa ajira na kupunguza umaskini katika taifa letu.
Mmmh! Hiyo nusu ya walichokwisha iba bro. hawawezi kukubali kukirudisha i.e. hakitarudi.
 
Kama hawataki hiyari inatumika shuruti
haha tatizo watanzania waoga, wakiambiwa tu defender na washawasha zitakua barabarani tuli! Kila mtu anajifungia.
 
Know the difference between pleasure and happiness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…