NI KWELI KABISA mambo mengi bado tunastruggleTuanzie wapi tumalizie wapi?!
Huduma tu basic zapatikana kwa mbinde!
Vijana kuwa chawa kwa ukosefu wa ajira na fursa!
Huduma za afya, elimu, ustawi wa jamii ni kama kuwafikia 50% ya raia!
Ukosefu wa siasa safi na uongozi Bora.
Kusababisha tuwe kama banana republic!
Na kuleta wizi na ufisadi!
WADANGANYIKA TUNAISHI MOTONI!
Basi analilia kumalizika kwa matesi,juu ya ukosefu wa haki,usawaMtoto wa kiume unalilia furaha π
Maokoto tuKwamba mtoto wa kiume anatakiwa alilie nini mkuu π