Uko vizuri mkuu. Vijana waache tabia topevu(IIiyokita mizizi) ya kunyosheana vidole eti ni yule pale ananikwamisha, ni huyu hapa hataki kufanya hivi na vile...... na blaa blaa nyiiiingi. Vijana wazinduke kutoka usingizini wauone wajibu wao wa kuchapa kazi, wazilinde rasilmali za Taifa na waoneshe Uzalendo wao kwa kiwango cha juu. Sio eti kama ilivyo sasa; wazee wanalia Hali ngumu na Vijana nao wanalia Hali ngumu; Wazee wanalia Huduma mbovu, Vijana nao wanalia huduma mbovu, Wazee walia, Vijana nao wanalia. Hapo ni nani atakayemsaidia mwenzake?? Tulitegemea kwamba Vijana ndo Taifa la LEO na kwa hiyo wanatambua hilo na watawajibika ipasavyo. Watoto ni Taifa la KESHO inafaa waandaliwe vizuri mno ili wasije kufika hapa tulipo sisi wa leo.Vijana amkeni!
Hii imeondoka kutoka changamoto na sawa imekuwa tatizo/shida kwa Watanzania.Kipato duni,chakula cha kubahatisha kisanii,usafiri kwa wenye maisha ya kati hadi chini ni balaa.Halafu CCM haitaki kusikia "NO REFORM NO ELECTION"!Sonona itatorokea dirisha gani hapo?Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama? Mimi nadhani mambo mengine siyo ya Kisiasa na kwa hiyo ufumbuzi wake hautoweza kupatikana kwenye siasa.Mpaka sasa comments zinaonesha CCM ndio tatizo la kutukosesha furaha.
Mbinguni mkuuKwa yesu ni wapi huko?
Wananchi tuna hali ngumu tukilalamika tunaambiwa tuhamie Burundi, wenye degree wanaambiwa waende VETA hiyo raha itatokea wapi? 😹Wanawake naomba uwepo wenu mmekuwa kimya sana:
Cc: Lamomy | Atoto | Mshangazi dot com | Mallerina | realMamy | Binti Sayuni03 | Anastasia21
1-5 yote ni tatizo kubwa na wadau wanadai chanzo kikuu ni mifumo iliyowekwa na CCM wametoa mpaka na mifano.Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama?
Chagua moja mkuu.Unahamia "Bhuja" bila shuruti au unaenda kubukua VETA kwa gharama zako usalimike?Wananchi tuna hali ngumu tukilalamika tunaambiwa tuhamie Burundi, wenye degree wanaambiwa waende VETA hiyo raha itatokea wapi? 😹
Hakuna hata haja ya kufunga safari kumfuata mbinguni. Kikubwa Ni kumkubali tu, yeye mwenyewe atafunga safari kuja kwako.sasa mkuu tupo Tanzania, unasema kupata furaha tuende kwa Yesu yeye yuko mbinguni, tunaendaenda vipi?
Ni kweli vijana lazima tupige kazi Ili tujipate.Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama? Mimi nadhani mambo mengine siyo ya Kisiasa na kwa hiyo ufumbuzi wake hautoweza kupatikana kwenye siasa.
Unaonaje kama:-
1. Unapata chakula safi na cha kutosha
2. Unapata huduma nzuri na toshelevu za kijamii e.g Elimu, Afya, Maji, Usafiri, Mawasiliano, Ulinzi na Usalama, Kiimani hubughudhiwi, n.k.
4. Unakuwa na Amani ya moyoni na miongoni mwa Jamii unamoishi
5. Unakuwa uko huru kufanya mambo yako kwa namna unayotaka lakini bila kuvunja sheria zilizopo.
Kama hayo 1-5 yapo na unayapata; utakuwa na sababu gani za msingi kwenda kuikumbatia Siasa???
Hahaha! Tumia mbinu hii, ukiwa mtaani kwako au popote pale, we uwe unaulizauliza watu kuwa "nitampataje yesu?" Ni rahisi Sana kuelekezwa. Mbona watu wengi tu wanajua namna ya kumpata yesuHebu nipe details kinaga ubaga nielewe inakuaje.
😹😹😹 Naenda VETA mkuu..!Chagua moja mkuu.Unahamia "Bhuja" bila shuruti au unaenda kubukua VETA kwa gharama zako usalimike?
Jishike kifuani na useme ..."ASANTE MUNGU KWA KUEPUKA KIKOMBE HIKI"...!😹😹😹 Naenda VETA mkuu..!
Mfano mdogo tu 2021 tuliambiwa na PM kuwa rais yupo ofisini anachapa kazi kumbe mambo yalishaharibika zamani.Kivipi kiongozi? uongo upi?
Kuondoa CCM na genge lakeNini kifanyike kubadili hii hali?