Tatizo lilianzia kigamboni city.
Unajua Mimi nimetembea nchi nyingi nimejifunza mambo mengi.
Serikali yetu Kuna mda inajibebesha mizigo mikubwa.
Mfano NHC,NSSF na miradi tembo kama magora na n.k
Shirika la NHC ilitakiwa kuwa mkuu wa kusimama na wawekezaji ambao ni wabia wa project mfano ule wa kigamboni.
Project kama hizo