Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
Tanzania tumekuwa na kasumba ya kutokuamini wachezaji wetu wanaocheza nje tunawachezaji wengi japo sio sana wanaocheza nje lakini atuwatumii.
Mfano Hamisi Mroki huyu alikuwa timu ya taifa ya vijana ya kina Himid mao lakini alipoondoka Bongo ndo atuna mpango nae tena .
Juma Luizio tulimtumia mara ya mwisho tulipo kwenda South baada ya hapo tumempotezea kwanini tusiwape nafasi ili itoe changamoto kwa wandani ligi ya zambia ni bora kuliko ya kwetu.
George Banda, Notikelly masasi na David Naftali kwanini tusingewaita timu ya challege wakitusaidia tuwapeleke Stars au inawezekana ata kocha ajui kama kuna wachezaji hao.