Kwanini Tanzania inahujumu undugu Afrika ya Mashariki?

Mbona unateseka kunijibu mimi, nimeleta bandiko la gazeti wacha kunijadili, jadili kilichoandikwa kwenye gazeti, mimi siye mwandishi wala sio mwandishi wa habari.
Jifunze kutumia muda wako vizuri.
Kwa hiyo haya ni mawazo ya wakenya wengi dhidi ya watanzania
 
Kwa hiyo haya ni mawazo ya wakenya wengi dhidi ya watanzania

Jadili kilichoandikwa kwenye gazeti acha hizi sideshows, nimeweka hadi chanzo mfuate huko.
 
Turkana Ni kenya ila nahisi pale ndo jehanam na fukara namba moja duniani anaishi pale.

Teh teh teh, wenyewe huwa wanapakana kuwa si Kenya. Mfano ukisema njaa Turkana kenya. Watabisha mpaka asubuhi ingine ije. Watasema njaa ipo turkana, lakini siyo Kenya. Wenyewe kitu chochote nje ya Nairobi siyo Kenya. Nairobi pekee wanaikubali kuwa ndiyo kenya.
 
Rudi kwa kucheka ahahaha tihihihi
 
Wakenya wanateseka nini maana taifa pekee duniani linalowanyima usingizi ni Tanzania
 
Wakenya wanateseka mni maana taifa pekee duniani linalowanyima usingizi ni Tanzania
Sio Wakenya wote. Usituseme wote katika kauli moja. Mimi kwa mfano nawapenda wasichana waT.z
 
Sio Wakenya wote. Usituseme wote katika kauli moja. Mimi kwa mfano nawapenda wasichana waT.z
Ni kweli si wote, ila takribani humaanisha kukaribia wote na sijamaanisha kwamba watu wabusara hawapo ila sampuli za mtoa mada wako wengi na nayaona sana hayo mawazi yao mara kupitia mitandaoni
 
Eti tuseme ulaya iliyoko africa, siku hizi Ulaya ni Dar ndugu yangu, mambo yame change, hahaaa hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nahisi mtoa uzi haijui Tz kwanza eti anasema the late mwal.nyerere alitokea Butiama eti ipo bukoba "" huo ni UJINGA wa mkenya kujifanya anajua kumbe hajui geographia ya TZ .... Secondly , ukisema JK alijaribu kujitoa EAC ni ujinga sanaaa iv umesahau ile kitu UK aliifuel kwa ajili ya kuisideline TZ ile mliita Collision of willingness , huu ujinga mliitaka kuzitekanchi za maziwa makuu karibu na na kenya punde mlipo saini kupewa mkopo na bank ya exima china , na JK alikuja kenya na akahutubia ktk bunge la kenya na akasema hakuna kiongozi wa Tz ambaye atadiriki kuitoa Tz ndani ya jumuiya .... For God sake mpango wenu uli fail mchana kweupe wale mliojidanganya kuwateka akili wamewakimbia kweupeeee nchi kama Burundi ikikataa upuuzi wenumchana kweupe kujenga miundombinu kwa ajii ya kuunganisha nchi na nchi sio jambo

Ata wa kenya wenyewe baadhi mnahofu na EAC mfano mzuri Juzi M7 alivyokuja Kenya mlikubaliana Ug alete mayai na asali lkn days later baadhinya wakenya wqka mind kuhusu soko lao la mayai na asali zinazozalishwa ndan ya kenya
 
Naona tunarudi kule kule....

Ugomvi usio na maana!

Kenya kiuchumi mpo mbele,Tanzania tuko nyuma,sasa sijui kwanini kila siku tunagombana about this fact?

Heri tuwe tunajadiliana mbinu mbalimbali za kuendelea.....

Walao mbinu za kuipita Kenya!

Tukana this,tukana that,does not mean anything whatsoever!
 
Bro, umespend muda mwingi sana kucrash our Father of the Nation and our ideologies . And who told you if we fully integrate into EAC will solve our issues?

Let us be clear to you and whoever thinks like you, Tanzania is a sovereign state and the obligation is to Tanzanians first.......... hatuko tayari kuwa pushed, hii EA Federation tunaenda nayo pole pole bwana, let us prepare our children, our systems kwanza.

We are the most resourseful and mouth-watering nation in the block, our economic strides are potent na tutaingia siku tukiwa tayari not otherwise. Msitusukume sukume kwani what agenda have you got behind doors?

And kwa taarifa yako hakuna EAC bila Tanzania, afterall nakushangaa my bother, progress ipo vizuri ndo mana integration is moving in stages, yes sisi tuko bullish and slow kwan tunawahi wapi na hii EAC kuopen our borders kirahisi while we have our own issues to harmonize.

Usilazimishe haraka hii ndoa, acha tupendane kwanza them tutaoa tu. Learn to treat your fellow country men with honor and respect kwanza then ndo uwaze ya TZ. Hatuko tayari kuwa joined with you until you are civilized.
 
Famous quote by Julius NYERERE.
Ulaya iliyopo Africa.
Kama unataka kwenda ulaya, nenda Kenya.
Utakumbukwa kwa hili. Endelea kupumzika kwa amani
 
nilipofika tu eti Nyerere amezaliwa bukoba nikaacha kuendelea kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…