Endeleeni kuota ulaya kuna electric train vp kwenu ipo, bongo ipo sasa tuone ulaya ni ipi hapoFamous quote by Julius NYERERE.
Ulaya iliyopo Africa.
Kama unataka kwenda ulaya, nenda Kenya.
Utakumbukwa kwa hili. Endelea kupumzika kwa amani
Tanzania imejaa mafukara. Watanzania wengi huishi katika nyumba za tope zilizoezekwa na nyasi. Sidhani kama wengine wamewahi ona bati maishani mwao. Very ugly houses in the villages
Inaonekana Bukoba ni maarufu Sana?
Nyerere alizaliwa Bukoba gani hiyo au ya Kenya?
Aliropoka nahisi,yaani Kenya napo ulaya?[emoji23] [emoji23] [emoji23]itafakar kenya yako vizurFamous quote by Julius NYERERE.
Ulaya iliyopo Africa.
Kama unataka kwenda ulaya, nenda Kenya.
Utakumbukwa kwa hili. Endelea kupumzika kwa amani
nyie ni manyan´gau tu,tz huijui vizuri wew, hamna hata aibu watu wanakufa kwa njaa huku mnasema nyie mna uchumi mkubwaTanzania imejaa mafukara. Watanzania wengi huishi katika nyumba za tope zilizoezekwa na nyasi. Sidhani kama wengine wamewahi ona bati maishani mwao. Very ugly houses in the villages
Wa bongo lala ni fukara wa mali akili elimu yaani everything thus why hawajiamini na hawapendi eac sasa wanaojitutumuaga humu jukwaani kuweni na aibuHivi kati ya Tanzania na Kenya wapi kuna mafukara wa kutupwa au majengo ya kina Kenyatta na baadhi ya wanasiasa na wazungu wote mnajiona tayari matajiri.
Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?Bro, umespend muda mwingi sana kucrash our Father of the Nation and our ideologies . And who told you if we fully integrate into EAC will solve our issues?
Let us be clear to you and whoever thinks like you, Tanzania is a sovereign state and the obligation is to Tanzanians first.......... hatuko tayari kuwa pushed, hii EA Federation tunaenda nayo pole pole bwana, let us prepare our children, our systems kwanza.
We are the most resourseful and mouth-watering nation in the block, our economic strides are potent na tutaingia siku tukiwa tayari not otherwise. Msitusukume sukume kwani what agenda have you got behind doors?
And kwa taarifa yako hakuna EAC bila Tanzania, afterall nakushangaa my bother, progress ipo vizuri ndo mana integration is moving in stages, yes sisi tuko bullish and slow kwan tunawahi wapi na hii EAC kuopen our borders kirahisi while we have our own issues to harmonize.
Usilazimishe haraka hii ndoa, acha tupendane kwanza them tutaoa tu. Learn to treat your fellow country men with honor and respect kwanza then ndo uwaze ya TZ. Hatuko tayari kuwa joined with you until you are civilized.
Tanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
Aliropoka nahisi,yaani Kenya napo ulaya?[emoji23] [emoji23] [emoji23]itafakar kenya yako vizur
Imagine na kuku mmoja anasema sisi tunaihofia kenya[emoji23][emoji23][emoji23].Tanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.
Bro unaelewa mleta uzi alichoandika, kwanini wewe unakuja na mawazo ya kupingana naye!!!Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
Basi mnatakiwa muwe declare ili tutafute namna nyingine ya ku deal na fursa haina maana ku dedicate commitment kwenye useless federationTanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.
ni ldc lakini wananchi wake wanakula vizur, wanaishi vzr, na hakuna njaaKwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?Bro unaelewa mleta uzi alichoandika, kwanini wewe unakuja na mawazo ya kupingana naye!!!
Sisi tunahofu na kenya ambayo imetuzidi kila kitu[emoji23], halafu sisi ndio tunavuta nyuma mchelewe kuendelea.
Eti kupush maendeleo ya Tz [emoji23][emoji23][emoji23]Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
Kenya haina uwezo wa kuiboost tz wewe dogo, nyinyi endeni tu na GDP, mkiweza nyanyueni wengine huko nendeni hata somalia.Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
Mko huru kuangalia options zingine bro, nini kinawakwamisha kwani? Tanzania tunataka a healthy competition na ku-cooperate na watu wanaoheshimu our economy, our people and values.Basi mnatakiwa muwe declare ili tutafute namna nyingine ya ku deal na fursa haina maana ku dedicate commitment kwenye useless federation
Ha ha haa, so now its Uganda n Burundi tena, the fact kwamba you have deep arrogance and disrespect to your neighbor shows how uncivilized you are. I recline in peace, ngoja nikajenge nchi.Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?