Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?

Kwanini hutaki nilikua nae muccobs ushirika moshi adi yanga wanamsaini kutoka machava ndio alikua anamaliza mwaka wa mwisho
Ukishindwa kuniamini tafuta vyanzo vingine kwenye mitandao taarifa hazipotei
Hahaha, jamaa usikute hajui
 

Sijui umefikije ndugu yangu, ila umefikiri kwa kina sana; hongera sana.

Zamani zile tuliwahi kuwa na akina Leodgar Tenga -B.Sc (Eng), Lawrence Mwalusako -nadhani B.Comm, Dennis Mdoe - nadhani B.Sc (Eng). Leo hii hakuna diploma wala digrii ndani; nadhani ni kwa sababu ya mifumo imebadilika sana. Zamani sana michezo ilikuwa ni sehemu ya mitaala ya shule za misingi na sekondari, lakini nadhani leo hii hali siyo hivyo tena.
 
Mkuu kichuguu siku hz wapi pia wenye degree zao
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi
 
Wapo lakini wachache,
hii sio Tanzania tupu hadi ulaya, wanamichezo wenye degree ni wachache mno.
lakini pia sio masupastar ni wachezaji wa kawaida sana.
Inaonekana academics na sports ni kama mafuta na maji
 
Kuna wachezaji wana cheza ruvu shooting na Maji Maji uko, ni wasomi wana master zao..
 
Wakina Tenga na Wenzake walipoteza mda wao kwenda shule kwa sababu Africa ilichelewa saana kun'gamua kuwa soka inalipa kuliko fani nyingi saana ..siku hizi soccer ndio kila kitu bwana....sio lazima upite shule kwanza kwani matajiri woote duniani wanatafuta pesa kwanza arafu ndio wanaajiri hao wakina Tenga na Dk. Msolla et al..kuwafanyia kazi...Case study Bakhresa.n.k
 
Wakina Tenga na Wenzake walipoteza mda wao kwenda shule kwa sababu Africa ilichelewa saana kun'gamua kuwa soka inalipa kuliko fani nyingi saana ..
Mbona Ulaya wachezaji wanasoma na kucheza soccer?@
 
umefafanua vema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…