Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Sina uelewa wa sheria za kimataifa lakini utashi wangu unanipa kwamba vitendo tulivyofanyiwa na nchi hizi mbili wakati wa ukoloni sio haki kabisa.
Wamejitajirisha kwa mali zetu na nguvu za watu wetu, wametutawala kikatili miaka kibao na kutupiganisha vita vyao huko kisha wanatuandikia ktk vitabu vya history kutufundisha waluyotufanyia.
Kwa nn Tanzania tusiwashitaki huko kwenye mahakama zao watulipe fidia na vitu vyetu warudishe?
Naamini hizo sheria wanazotungaga wenyewe lazima kuna nyingine zinafaa kuwageuka hawawezi kutufanyia hivyo kwanza hadi sasa hivi nahisi wanatutawala tu.
Please wanaojua sheria wanipe mwongozo.